Recent content by Snowflake

  1. S

    Kwa sasa kuna kila dalili Kamala Harris huenda atamshinda Trump kirahisi kabisa!

    Nakumbuka Mtabiri Maarufu wa Bulgaria Baba Vanga ulimtabiria Trump but na kitakachotokea pia alikisema...!
  2. S

    Kihenzile na Mkenda inawezekana wakawa Mawaziri?

    Professor Adolf Mkenda ni GURU LA UCHUMI. Huyu ni Mwanafunzi wa Prof Ibrahim Lipumba ambaye ni Maktaba ya UCHUMI. Tanzania hajawahi kuishi kwenye falsafa za kikabila na hata kama imewahi kuwepo dhana ya namna hiyo ukweli ni kwamba siyo mpango au tuseme siyo sifa ya Nchi yetu. Kazi na iende...
  3. S

    Ndugu Mwigulu, kama makusanyo ya Bandari anakusanya DP World, tutakwepaje bankruptcy?

    Kwa vyovyote Mapato yataongezeka sanaaa! Toa nafasi! Robo ya kwanza mpk ya tatu ya Mwaka huu wa pesa utaanza kujua maana ya DP World! Hilo liko wazi na tutaona!
  4. S

    Martin Masese: Serikali imekuchukua mkopo NMB ili kumnunulia mabasi mwekezaji wa Mwendokasi. Mkopo utalipwa na Serikali kwa kodi za umma

    Hivi Mfanyabiashara akikopa pesa akanunua Train kisha akalipia Kodi kwenye SGR maana yake ni kwamba Serikali ndo imemkopea Pesa ya kununua Train? Je? Mfanyabiashara huyo akilipa iyo pesa kwa Bank ni Serikali itakuwa Imemlipia? Commercial Bank hazifanyi SIASA kwenye Biashara! Ni Lazima huyo...
  5. S

    Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

    Heriel Mtibel ameandika Mada Chokonozi...!Anastahili Pongezi! Lakini kuna kitu kimoja watu tunasahau...tunadhani Brain(UBONGO)unatusaidia kuliko Spiritual Mysteries! Kina mambo ambayo ukibahatika kuyaona au kuya-Experince hautaweza kabisa kuyaezea kwa lugha yoyote! Au unaweza kulia au...
  6. S

    Mikakati ipi itumike kuongeza idadi ya walipa kodi kutoka Milioni 3 hadi 30

    Yawezekana huu ni Uzi unaohitaji Majibu yenye uzito zaidi kuliko Mzaha! -Jambo la Muhimu zaidi katika kuzalisha Walipakodi wengi ni kuamua kufanya Financial Structuring. -Financial Institutions Nyingi ni Commercial ambazo policy zake hazisaidii Investments. ×Hizi zinanyonya pesa kwenye Mzunguko...
  7. S

    Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

    Huu ndio ukweli! Watu wanapenda sugar-coated bitter Pills!
  8. S

    Ushauri: Kodi ya VAT ikusanywe direct toka viwandani kupunguza upotevu wa mapato

    Soma vizuri concept ya VAT! Value Added Tax! Kuna productz zinaenda hadi mizunguko kumi ndo unaingia kuliwa.. ..hiyo mizunguko inatoa nafasi ya ongezeko la thamani...na mikunjo ya kodi ya Ongezeko la Thamani bado inaandamana na huo mzunguko.....au mkunjo...! VAT haifi...inaendelea kuongezeka...
  9. S

    Mgomo wa wafanya biashara ni wa kipuuzi kuwahi kutokea! Wao inawahusu nini mlaji akipandishiwa bei bidhaa? Wao ni wapeleka kodi tu anayelipa ni mlaji

    Sasa Ulipelekwa Shule kwa Kodi Zetu halafu hukuelimika kweli? VAT inatakiwa iwe na Baseline! Malalamiko ya Wafanyabiashara wa Kariakoo ni kwamba sehemu ya Importation ya Bidhaa haitozwi kodi ipasavyo kule Bandarini.. Unaingiza mzigo Mkubwa lakini unalipia VAT kidogo! Kuna gap... Na dhamira...
  10. S

    Mwigulu unampigia nani kelele bungeni?

    Nadhani kuna kitu WF hajakitizama vizuri! Tatizo kubwa kwa Biashara Nyingi ni pale Umeme ulipokuwa unakatika sanaaa! Viwanda viliparalyse! Lazima effect zake zianze kuonekana sasa! Nguvu kubwa iende kwenye kuimarisha upatikanaji wa hii nishati then Hazina itajaa pesa tu! Wafanyabiashara...
  11. S

    Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

    Mhhhh! Train! Fishing Boats College of Fisheries Ndege Makatapilla Bado intergrity iko tu! Halafu huwezi kupinga chanjo au dawa kwa hisia! Research ndiyo iimarishwe! Ule ushauri ulikuwa hauna mashiko...kwa Sababu haukuwa na Science ndani yake! Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  12. S

    Tundu Lissu: Makazi ya Wamasai wa Sanya Station karibu na Airport ya KIA yamevunjwa, eneo lao imepewa Kampuni ya Oman Airports

    Tundu Aeleze Jamii Sera za Chama Chake! Yaani upinzani ni kuripoti vitu pety pety kama hivi? Ongea Sera za Chama Chako kuhusu Bandari na Mambo mengine yanayohusu Uchumi na jinsi utakavyojitofautisha na Sera za CCM! Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  13. S

    Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali

    FINANCIAL INSTITUTIONS ziko too commercial. Banks za Taifa zinapaswa kuwa na Strategic Lending lakini HAZINA MITAJI. Kwa hivo ni vigumu kujenga Strong Economy wakati wananchi wako huwezi kujua ni wangapi wanashiriki Kwenye ukuaji wa Uchumi na kwa Kiasi gani! Bank za Serikali zingetafutiwa...
  14. S

    PreGE2025 Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

    Hiyo Research umeifanyia wapi? Ati hana wakumpigania, halafu nani akae hapo? Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  15. S

    Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro uboreshwe

    Gardening! Recreation! Palm Trees na Nyinginezo! Avenue Road kutoka Airport mpk Arusha Road! Yaani ule uwanja ungekuwa Garden kama zile za Mount Meru Hotels ule uwanja ungetulia sanaaaa Lsnd Scape inahusu na ikiwezekana wakabidhi watu binafsi! Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom