Nape nae asitake kutuzingua,aache mapenzi na ulafiki ktk sakata hili,pia anatakiwa ajue kua huyu sio laisi wa malafiki na washikaji huyubyupo kikazi zaidi ndiomaana kachagua watu wa kazi ili afanyenao kazi na sio vinginevyo,,,,ukimchekea nyani utavuna mabua hakuna cha Wema wala lafikiake Wema...
Umekulupuka,fanya uchunguzi pia soma vitabu kijana,upo sawa kwa falao na sio kwa hao wengine na ukweli utabaki kua ukweli kua sote tutaenda ila lazima tuwe wakweli kile kilichopo ndani ya mioyo yetu kama mioyo imakekataa kusaidia lazima tuseme nasio tuwape matumaini yasio na ukweli ndaniyake.
Hakuana taifa lolote duniani lililo endelea kwakua na kiongozi mdanganyifu,mzembe,asie na msimamo hakika tulikua tupo ktk shimo, tulitaabika mda mlefu sana na ukweli kua wakagera wameumizwa na hizi kauli, zimewachoma na kupoteza nuru zao juu ya maisha ya hapoa awali lkn lazima watanzania tujue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.