Naanza na mimi kuna wakati nilikua safari kutokea Same nikielekea Arusha nilipanda coaster na kupata siti ya nyuma kabisa na sababu yenyewe nikwamba tulikua wawili hivyo tulipendelea kukaa pamoja mbele yetu kulikua na siti ya watu 2 ambayo yadirishani mtu alikaa ikabakia hiyo ya mwanzo.
Mpaka...
Nadhani swala hili linahusu wanandoa kujadili ni nn mwenzie anapenda nini azidishe au apunguze lakini sidhani kama majibu hapa yatalingana kila mtu na vile anavyopenda na chakwanza ni kuridhiana kutoka moyoni mengine yatakua rahisi zaidi
Umeongea ukweli kabisa wanachukulia kule kuonekana mtoto ndo ngao yakujikingia sikuizi jmn dunia imebadilika sana sema jamaa anamoyo kama mm ningeshaaga zangu mapema tu yanini kesi zakudhalilika kama hivi inakera
Kwa mtizamo wangu naona kosa liko kwako na sio mwanamke , kwasababu maelezo ulioyasema ni vitu ambavyo viko nje yauwezo wa binaadamu ni kweli tunatafuta tiba ni kweli tunatafuta rizki ila mtoaji ni mungu na sio mtu . Ikiwa Leo hii kutokuzaa kwake imekua kosa kutokupona kwake kwako imekua mzigo...
Nimekuelewewa vzr mtoa mada japo wengine wanasema na mabosi wanawafanyia vibaya wadada wakazi lkn kuliko kutoa roho yakiumbe asiekua na hatia kwa makosa ya mama yake au baba yake kwa nini usiamue kuacha kazi tu ili mambo yasiwe mengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.