Recent content by smoerishi

  1. S

    Natafuta kazi ya usafi au kulea watoto

    Nina umri wa miaka 26 naishi kinondoni daresalaam.nina uzoefu na kazi hii.muda wa kazi ni kwa siku kwa maana kwenda na kurudi na mshahara ni maelewano. Ahsante.
  2. S

    Niliyenaye simpendi ila naogopa kumuacha kwa kuwa anataka kunioa na umri umeenda

    Nipo kwenye mahusiano ambayo simpendi mtu niliyekuwa naye kwa matakwa yangu binafsi na wasiwasi kumuacha huenda nikakosa mwanaume wakunioa uko mbeleni. Kiukweli kila akinitamkia kunioa sijisikii kabisa na wanaume naowapenda hawanitongozi na umri unaenda yaani sijui nifanyeje mwenzenu.
  3. S

    Nashindwa kumuelewa huyu binti wa 20yrs

    Mshenz wa tabia achana nae
  4. S

    Natafuta kazi ya usafi au kulea watoto

    Natafuta kazi ya usafi kwa maeneo ya daresaalam Nina uzoefu na kazi hii.
  5. S

    Natafuta connection kwa watu wa Maendeleo ya Jamii

    Habari wapendwa, Natafuta watu wanaojihusisha na masuala ya maendeleo ya jamii ili tuweze kupeana connection za kazi. Hata kwa wale waliosoma vyuo vya serikali za mitaa Kama Hombolo, tupeane link za group Kama Kuna magroup yapo WhatsApp. Asanteni
  6. S

    Nafasi 5 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa, Mtendaji wa Kijiji Daraja la III

    Huwaga natafuta sanA kazi Kama izi ndo taaluma nilosema tunaweza tukajuanA huwa tunajaribu sehem nyingi endapo Kama utakuwa unapata matangazo Kama Aya. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom