Recent content by smillinggal

  1. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Habari za leo wangu Kuna frem nimeipata maeneo ya karibia na hospitali ya mkoa ya Geita. Naombeni ushauri niweke biashara gani hapo itakayochanganya vizuri? Tayar kuna maduka jirani yanauza vitu kama nguo za watoto wachanga...mpesa...mabeseni no Natanguliza shukrani
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

    Asanteni nyoote kwa michango walau imenipa mwanga
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

    Akili karatasi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

    Asante mkuu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

    Yani wanakera sio siri
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

    Asante sky
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

    Asante mkuu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

    Habarini wakuu Naombeni kujua gharama za kusafiri kutoka Tanzania kwenda China mji wa Guangzhou
  9. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Wadau habarini. Naombeni kujuzwa fursa za kibiashara kwa sasa kwa mkoa wa Geita. Natamani sana kufanya biashara mkoa huo. Natanguliza shukrani
  10. S

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri ya awali kwa mkoa wa geita

    Wadau habarini za jioni. Naombeni Msaada kwa anaejua shule nzuri ya awali kwa mkoa wa Geita. Na gharama zake pia
Back
Top Bottom