Recent content by smileof faith

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi bank za Mwanza

    hello good people. natafuta kazi bank za mwanza. mwenye taarifa ya bank wanayotafuta credit officer au relationship manager niambie tafadhali
  2. S

    JamiiForums Tanzania Iphone 6 plus

    nauza iphone 6plus yenye 16BG..bei 850K. ndio bei ya mwisho...0172060660
  3. S

    JamiiForums Tanzania kilimo cha mahindi

    Habari wana jamii forum, naomba nijue kitu kuhusu kilimo cha mahindi na kunde...tangu kupanda mpk mavuno huwa inachukua muda gani? kama mtu aliyeanza kupanda tangu mwezi wa tatu anategemea kuvuna lin?
  4. S

    JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Ushinem ni nan??
  5. S

    JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Hazipooooooo kokoteeee
  6. S

    JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Ngoja nijaribu
  7. S

    JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Nimeingia youtube hazipo! Yan mpk nimeandika hapa ukue kweli nimetoka jasho
  8. S

    JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Asanteee
  9. S

    JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Habarini wapendwa, poleni na majukumu ya haoa na pale ya kujenga taifa. hivi naweza kupata wapi nyimbo hizi kwenye cd au flash sio tape audio. Au mahali gan nawez kubadilisha nyimbo za audio cassette (tape) zinyonywe kwenye flash au cd 1.Chidumule- Libarikiwe neno hili 2.Marehemu Shwaibu...
Back
Top Bottom