Habari za mida hii wapendwa,
Mimi ni binti mmoja mtaratibu sana, sijisifii ila niko hivyo kweli. Mapenzi yamenuimiza sana, ilifika mahali nilichukia sana wanaume, niliona ni wanyama nimekaa kipindi kirefu sana bila kujiingiza kwenye mahusiano, kwani nilihitaji kujijenga kwanza niliona labda...