WATU tisa wakiwamo askari polisi wawili wa Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam wametiwa mbaroni wakiwa na meno 70 ya tembo (sawa na tembo 35).
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei, watuhumiwa hao walikamatwa Julai 28, mwaka huu usiku saa nne katika...
Haki ndio msingi wa amani bila haki hakuna amani, lakini mimi nazani amani huchangiwa na vitu vingi sana japokuwa haki ndio msingi mama wa amani,
haki bila usawa, amani haiwezi kudumu kunapotokea kuna tofauti kubwa kati ya wenye nacho na wasionacho hapo pia amani ipo mashakani.
wizi wa...
Wakati kukionekana kuwapo kwa mvutano mkali kati ya Jeshi la Polisi nchini na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), chama hicho kimesema kuwa hakitakubali kukaa kimya wakati baadhi ya watumishi wa jeshi hilo wakitumiwa vibaya kwa maslahi ya kisiasa kukandamiza raia.
Chama hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.