nadhani wachezaji wa kiafrika wangewekeza juhudi zao katika soka kama wanavyokuwa busy na nywele na mapambo mengine usoni kama hereni na kujipaka rangi chini ya macho (Salomon Kalou), tungepata burdani inayostahili na soka ya afrika ingkuwa mbali sasa
Sijui huko makanisani ndio mnakofundishwa ufisadi au upo damuni tu maana mnautenda na kuutetea kwa nguvu zenu zote. Ni vema mkumbuke nchi hii siyo ya kanisa na kuwa dini zingine zipo na siyo kwamba hazioni mnachofanya. Kama vitabu vyenu vinahubiri hayo ni bora mkavpitia upya. "The churches" have...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.