Recent content by Smartphone Tz

  1. Smartphone Tz

    Pop 2 power inauzwa bei nafuu

    100k boss nicheki 0625496983
  2. Smartphone Tz

    Pop 2 power inauzwa bei nafuu

    Ina ram 1 storage 16 mAh 4000 Ni clean haina creck wala mchubuko wowote ule sild haijawahi kufunguliwa Bei 120,000 nipo Banana Ukonga Namba 0625496983
  3. Smartphone Tz

    Mume wa mtu ananilazimisha nizae naye

    Unatembea na mme wa mtu anakuchakaza unazeeka badae unaanza kutafuta wa kukuoa nan atakaekuoa ushatumika sana
  4. Smartphone Tz

    Ni kweli mwanamke akipenda anapenda kweli

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  5. Smartphone Tz

    Ni kweli mwanamke akipenda anapenda kweli

    [emoji1][emoji1][emoji1]
  6. Smartphone Tz

    Ni kweli mwanamke akipenda anapenda kweli

    Siwezi tuma nauli ana kazi yake na hela anayo
  7. Smartphone Tz

    Ni kweli mwanamke akipenda anapenda kweli

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Smartphone Tz

    Ni kweli mwanamke akipenda anapenda kweli

    Habarini wakuu i hope mko poa, Aisee hivi karibu nimekuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi tumejuana facebook tukapeana no tukawa tunachart siku ya 1 ya 2 ya 3 nkamtongoza kakubali Sasa huyu bidada amekuwa wa moto sana yeye ana kazi na kila kitu ndani bhasi kuanzia hapo kila wakati anataka...
  9. Smartphone Tz

    Mchepuko unakaribia kuvunja ndoa yangu

    Bado humpendi mke wako kama unakaa week hupigi show unamtaka mchepuko hapo unadanganya umma
  10. Smartphone Tz

    Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogo

    Hii ndo shida ya kuwa na mwanaume asiyejishughulisha unategemea nn hapo wacha ajisevie tu
Back
Top Bottom