Smartphone Tz
Member
- Oct 29, 2020
- 34
- 29
- Thread starter
- #21
Asante kwa ushauriMtu anapokupenda try to love back. Sisemi uwe careless lakin jaribu kuenjoy wakati wenu pamoja bila kujiuliza uliza .
Asante kwa ushauriMtu anapokupenda try to love back. Sisemi uwe careless lakin jaribu kuenjoy wakati wenu pamoja bila kujiuliza uliza .
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nipe namba yake..ili nijue kama ni mbaguzi au ni mtu wa watu
Bado mbichi ana 23Ana umri gani unaweza kuta kazeeka angali wewe bado kinda kabisa. Note mkapime kwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda ulivokuwa unamwaga sera ulimwambia wew mtoto wa Bakhresa