hujalazimishwa dear nimeomba ushauri tu ungeiacha hii thread kuna walio interested na pengine kuna other girls wako stranded in a same situation watanufaika nayo so dont be bitter
its called love at first sight miezi mi3 unaiona midogo? watu wanakutana kwenye daladala n the next is marriage we hutumwagi na mkeo/dem?si ni mapenzi tu or bcoz ni mnaija?? sometimes its better to live with a foreign criminal than libongo libahili lisilokua romantic nitusi feel free VANMEDY
hujui hata kinachoendelea we unawajua wanawake wote ulolala nao walikotoka ushamba tuu umekujaa unajifanya msafi wakati kutwa upo mtandanoni unatogoza videmu stay away from my shit ifa96
Nachofikiria sasa ni kujifumanisha polisi nimeshindwa nataka nieke mazingira tugombane tuachane aondoke yeye mwenyewe na sio kumchomea sijajua bado mimi nliambiwa kuhusu hao watu wa sinza waliokutwa na line na ndo hao walionifungua macho kwamba huyu mtu ni mwizi neutral G
u think its easy nimeshaongea na polisi kasema nieke mazingira ya kumkamatisha then nihame kwangu!!!polisi hawa hawa corrupt wakipewa laki tu wanamtoa then aje anidhuru aniue kwa kumchomea! AZUSA STREET
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.