Recent content by SMART GHOST

  1. SMART GHOST

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Niliiwahi game, nikawa naangalia huku najiuliza, kwa huu uchezaji tuliwezaje kumkanda mtani goli nne na Bayern? Nafasi zinatengenezwa kama mia, ila hakuna anaetaka kufunga. Huu msimu Atletico akiwa na consistency, anaweza chukua ndoo.
  2. SMART GHOST

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Thanks mtani, acha niichek. Niko chaka, na bado nataka kumuona Yamal na project Mbappe! 😅😅😅😅
  3. SMART GHOST

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Ipo playstore au google?
  4. SMART GHOST

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Watani kwema? Anaefahamu app ya kustream mechi za laliga anipe tag tafadhali.
  5. SMART GHOST

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Wakuu, mwenye application ya kustream mechi za laliga anipe tag tafadhali.
  6. SMART GHOST

    Madereva wa New Force rekebisheni mwendo wakati mnaendesha mabasi

    Kuendesha gari kwa kasi isiyo kawaida sio jambo la kusifia!
  7. SMART GHOST

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mtani, hiki kipindi cha kuususa uzi tulikipitia. Sasa ni zamu yako, kuimba kupokezana. 😅😅😅😅
  8. SMART GHOST

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Je, Vini anazo stats kali kumzidi Lautato Martinez?
  9. SMART GHOST

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Basi tutumie hizi hapa.
  10. SMART GHOST

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Xavi, Messi na Iniesta ilikua rare scenario. Kwanza Stats za Messi zilikua kali, wala hazikuhitaji PR kama kesi ya Vini. Pia, hata hao wenzie walitaka Messi ashinde. Kwa kesi ya Vini, sidhani kama Mbappe kampigia kura kama captain wa Ufaransa. Narudia tena Carvajal ndie mtu aliekua na...
  11. SMART GHOST

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Haya, leta takwimu za Vini tulinganishe. Messi 2022/2023 Vs Vini 2023/2024
  12. SMART GHOST

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Acha uongo. Unataka tukukumbushe stats za Messi wakati Modric anapewa Balon d'Or? Vini was average robo tatu ya msimu. Vini alikuja kua mkali kwenye nock out stage ya UCL, wakati kuna wenzie walikua na consistent performance. Hata kwenye huu uzi, kabla ya nusu fainali ya UEFA, alikua anaimbwa...
  13. SMART GHOST

    UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Euros iliyopita nilitabiri anashinda Italy, ikawa kweli. World cup nikasimama na Argentina, ikawa kweli. This time nasimama na waholanzi. Huyo ndie bingwa mwaka huu!
  14. SMART GHOST

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Usichukulie serious sana brother, ni story tu. Kwa ujanja aliovalishwa huyu main character wetu, lazima atakua anajua suala la kupata ticket feki ni suala dogo sana. Simu mbili tu, unapewa ticket inayoonyesha ulienda sayari ya pluto, hadi hoteli uliyofikia huko kwenye mabarafu! Pale kariakoo...
  15. SMART GHOST

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mzigo kupitia Zanzibar ni plan ya Iryn. Akitoka Ethiopia anatua Zanzibar ili aonane na Insider wakati anaenda kufuatilia mzigo.
Back
Top Bottom