BOB LUSE
mm nafikiri mpatie lift unae mfahamu tu.. tena bila kuweka mazoea mazoea awe me/ke na kesho au kesho kutwa akikuomba lift tena au kukupigia simu kbs eti umeshapita? ohh Mara nakusubiri hapa.. mwambie ukweli kuwa hii siyo "school bus" ukishindwa kuwa muwazi basi hapatakuwa na maana ya...
Mmhh
.
.
.
Binafsi sidhani kama kuna urafiki huo... Labda uwe wa kielimu/biashara/kazi yani mnakutana tu au kuongea serious issues about those fields na si kuongea saa8 usiku eti "dr huwezi amini nimekosa usingizi saivi.. sijui nifanyeje" hii si urafiki wa kawaida na mnaweza enda tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.