Recent content by Smart codetz

  1. S

    Rais wa Yanga sc anaongeza Elimu ya Michezo chuo cha Harvard Business School

    Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School Eng.Hersi anasoma pamoja na wachezaji wa zamani wa Brazil Pato na aliyekuwq bingwa wa formula one Sebastian Vettel.
  2. S

    Simba wataenda uwanja gani kupata point 3 hiyo tarehe 15?

    Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!! Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
  3. S

    Game kuchezwa Zanzibar ni Funzo kwetu

    Kuna jambo la kujifunza hapa kwa timu zetu za ndani: mamlaka ya yakishaamua jambo, hata kama una ukakasi nalo - weka hisia pembeni, tii mamlaka. Naamini kabisa uongozi wa simba walijua kabisa ni ngumu/haiwezekani CAF kubadilisha maamuzi ila waliamua kuingiza chaka mashabiki zao kwa kufanya...
  4. S

    Rasmi CAF yatoa maelekezo kwa broadcasting wote kuhusu mabadiliko ya Uwanja

    Game ni Simba sc vs Rs berkane na sio Tanzania na Morocco acha kupandikiza chili
  5. S

    Rasmi CAF yatoa maelekezo kwa broadcasting wote kuhusu mabadiliko ya Uwanja

  6. S

    Mabadiliko ya Uwanja sio kigezo ila Quality ndio changamoto

    Mbona kama swala la mabadaliko ya uwanja limewatoa mchezoni wana Simba wakati Amani complex ni uwanja mzuri tu na pia hata Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Mashabiki wa Simba wapi pia na hata mguu wa kucheza fainal waliupatia pale? Hakuna haja ya kupagawa ukiwa na Quality popote kambi,Amani...
  7. S

    CAF yaamuru mechi ya fainali Simba Vs Berkane ichezwe New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025

    ➡️ CAF imewataarifu TFF kuwa mechi ya Fainali ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex Zanzibar ➡️ CAF imeeleza kuwa maamuzi hayo ni baada ya kujiridhisha na ukaguzi wa mara kwa mara wa hali ya uwanja wa Benjamin Mkapa katika kipindi cha mvua
  8. S

    Yanga SC hawaitaki TFF na wapo tayari hata kushushwa ligi daraja la 3

    Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF. Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii TFF. Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
  9. S

    Aziz Ki ni kati ya Wachezaji 8 Wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi ligi ya Afrika

    𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄...! Kwa Mujibu wa AfrikaFactsZone Hawa Hapa ni Wachezaji Wanaolipwa Zaidi Katika Ligi za Afrika Kila Mwaka. 01: Egypt 🇪🇬 - Ali Maaloul 🇹🇳 | $1.5 million | Al Ahly 02: South Africa 🇿🇦 - Ronwen Williams 🇿🇦 | $320,000 | Mamelodi Sundowns 03: Angola 🇦🇴 - Tiago Azulão | $263,000 | Petro de...
  10. S

    Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

    Baada ya kutoridhishwa na majibu ya TFF leo jioni Club ya Yanga imefungua kesi ya malalamiko kwenye mahakama ya Usuluhishi wa michezo CAS Yanga hawana imani na bodi ya ligi na wameshindwa kukubaliana kabisa na majibu ya barua iliyotoka na hivyo wameamua kusonga mbele (CAS) ili kudai haki yao...
  11. S

    Sakata la Mechi ya YangaSc vs Simba, Kigogo Mmoja abwaga Manyanga bodi ya ligi kuu

    BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi. Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja...
  12. S

    Sakata la Mechi ya YangaSc vs Simba, Kigogo Mmoja abwaga Manyanga bodi ya ligi kuu

    BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi. Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja...
  13. S

    Arafat Haji: Yanga haitocheza mechi nyingine ya Derby zaidi ya hii ya March 8 katika msimu wa 2024/2025

    Ndugu Wananchi kwa dhati ya moyo wangu niwapongeze kwa kufika uwanjani kutoka kona zote nchini, mliosafiri kwa anga, mliosafiri kwa magari, mliopanda Pikipiki, mliopanda boti hadi Watembea kwa miguu, yote ni kwa ajili ya Yanga Afrika, huu sio tu upendo bali mahaba ya kulevya kwa klabu hii bora...
  14. S

    Hata Kama Ungekua Wewe Ungekubali Kufungwa Mara 5 Mfululizo Kweli?

    Ni kweli inauma ila lazima Muzoee
  15. S

    Hakuna kanuni inayoibeba Simba kugomea Mechi

    Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo inagomea mechi kutokana na makosa ya Kikanuni😀! Ukitaka...
Back
Top Bottom