Recent content by smar-boy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimepata visa ya Marekani?

    Mkuu yule mzungu alikuwa anaongea fasta mpaka nikawa nimepoteana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimepata visa ya Marekani?

    Appo sawa mkuu... Thanks
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimepata visa ya Marekani?

    Asante mkuu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimepata visa ya Marekani?

    Sawa mkuu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimepata visa ya Marekani?

    Mkuu nataka Kujua kama nkienda kesho ubalozini na icho kikadi napewa visa?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimepata visa ya Marekani?

    Je kina Maanisha nkienda kesho napewa visa?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimepata visa ya Marekani?

    Wadau naomba jibu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimepata visa ya Marekani?

    Wakuu Habari zenu... Katika harakat za Maisha nikajikuta nimeomba chuo marekan na Nikapata... Nimeenda kwenye interview ubaloz wa marekan.. Nikapigwa Maswali mpaka nkachanganyikiwa alafu mwisho WA siku Nikapewa kikadi niende kesho saa nane na nimeacha passport yangu ubaloz wa marekan.. Je apo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sehemu za Masaji zanzibar

    Niko bububu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sehemu za Masaji zanzibar

    Wakuu Habari zenu... Niko zanzibar.. Naomba Kujuzwa wap Wanafanya Masaji.. Au mweny Namba ya mtu a naye Fanya private Masaji anitumie inbox... Na bei zao zikoje? Niko serious wakuu kazi nazofanya ni ngumu.. Kwang Masaji muhimu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kampuni za kutengeneza website

    wakuu habar zenu..natafuta kampuni inayo dili na mambo ya website designing ..kama mwenye kuzijua izo kampuni naomba anijuze
Back
Top Bottom