Recent content by smangele

  1. S

    Wakati sisi tukisema zawadi ni ndogo kwa shujaa Majaliwa, baba aibuka na kusema zawadi ni ya familia

    Mpuuzi wa kupuuza huyu...baba angemuacha kijana aishie form two? Apite hivi...aache tamaa.
  2. S

    Amuua binti wa kazi kisha kuvunja chumba na kuiba pesa

    Hata mimi nawaza kwanini amuue kama hamfahamu?Inawezekana walikuwa wanafahamiana na ndio aliyetoa habari za kuwapo pesa chumbani. Nawaza tuu! Anyway apumzike kwa amani dada.
  3. S

    Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

    Nimeshangaa sana...jamani! Angekuwa kiongozi angepelekwa kwa ndege.[emoji2356]
  4. S

    BM Bus rekebisheni utoaji huduma wenu

    Duhh..me ni mteja mzuri wa hayo ma bus ila kwa hapo kwenye vyoo kwakweli wamefeli sana.Pale Arusha hakuna kabisa choo wanasema kimejaa mara sijui kinajengwa.Kwahiyo inabidi ukajisaidie baa za pembeni na hapo.Inaboa sana sisi ni binadamu huduma kama hizo ni muhimu kwa wateja.Walifanyie kazi pls!
  5. S

    Unampa Tsh ngapi mkeo kwa ajili ya matumizi yake binafsi?

    Mhhhhh..Kaitli sana ww Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
  6. S

    Sitausahau usiku huu safari yangu ya kutoka Arusha kwenda Moshi

    Kabisa...mwanaume inawezaje kumuacha mwenzio kwenye mazingira kama hayo bila msaada? Duhh nimeshangaa sana aina ya roho ya jamaa kama story yenyewe ni ya kweli
  7. S

    Maajabu 7 yanayopatikana mkoani kwako

    Arusha yetu ina maajabu mengi .Geneva of Africa
  8. S

    Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

    Pole..Mungu akutie..nguvu.Ni vigumu kusahau hasa anapokuwa mama[emoji24]
  9. S

    Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

    Hakika..ushauri mwingine ni wa kuzidisha machungu na sio kupunguza. Bora kukaa tuu kimya..wakati mwingine.
  10. S

    Ndoa inaelekea kunishinda

    Kosa kubwa ni hilo kupekua pekua..aache..maana alichokuwa anakitaka kakipata.
  11. S

    Ndoa inaelekea kunishinda

    Pole sana ndugu, maisha ya ndoa yana changamoto sana.Jiatahidi kutuliza akili na kuomba Mungu akupe utulivu kwanza umzae huyo mtoto.Baada ya hapo utapima upepo..kama hauelewki ondoka mapema..na kuanzia sasa acha kabisa kushughulika na simu yake.Acha Bora usijue kuliko kuumia kila wakati.
  12. S

    Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

    Kabisa! Tunahitaji Neema ya Mungu iwatembelee hao jamaa zetu, matukio mabaya yamezidi kwa upande wao.
Back
Top Bottom