Recent content by Smallfish

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mbwa wanaosemwa na Gwajima ni akina nani?

    Alitoa nukuu! Hukumuelewa?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Bank M ililetwa na nani ilianza lini na wenye hisa ni akina nani ?

    Baadhi ya wabia wa Bank-M ni wabia wa Serengeti breweries.Wabia hao walihusishwa na kashfa ya EPA.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba CV za wabunge Esther Bulaya na John Heche

    Wote domokaya
  4. S

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Rais Magufuli azindua barabara ya Kidatu-Ifakara; Asema bora kula SUMU kuliko kula fedha za Serikali yake

    Ukitamani jumuhia za kimataifa kususia nchi yako inamaana huna mpango wa kurudi bungeni.Ukirudi utafanya kazi na nani?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    Ufahamu la lugha uko kwenye viwango mbali mbali.Hii hutegemea athari za kimazingira.kuna wengi wameathirika na lugha mama,wengine na matamshi ya walimu waliowafundisha na wengine kukosa kujiamini hasa ktk kuongea,wengine hupata athari za ulemavu wa mifumo ya sauti.Hivyo kuongea kingereza fasaha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    Ndio maana kuna fani za lugha na fani nyinginezo.
  7. S

    JamiiForums Tanzania MUBASHARA: David Kafulila ndani ya ITV, Awazodoa wapinzani

    Uchumi wa ZK ni wa madesa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuapishwa kwa majaji Ikulu: CAG mbele ya Rais Magufuli, akanusha Shilingi trilioni 1.5 kuibwa/kupotea

    Msomi mchwara kotuka kigoma anavuliwa uchi.kwa nn UD isirecall na kuquash degree yake?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Noandoka Tanzania

    ubongokid Ndio maana ukawa expert member jf kwa uhodari wa kutunga uonga!Ungeweka ticket ya safari ungeaminika kidogo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kibajaji aeleza ufisadi mkubwa CHADEMA, awataka waondoe boriti machoni mwao

    CHADEMA-chama cha demokrasia na maendeleo!!!!! Je,ni maendeleo yapi au demokrasia ipi inaweza thibitishwa ndani ya CDM?
  11. S

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Return Of Undertaker Hellen na Advocate Fatuma Karume wengesimamia haki za hawa akina mama kuliko kutetea wavuruga amani ya nchi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Himidi Sanga(Iringa): Waraka utakaosomwa Makanisani siku ya Pasaka ni wa kitume

    Mbinu ya kuvutia watu wengi waudhurie ibaada ili sadaka iongezeke.Viongozi wetu wa kiroho wajitakase kwanza kabla ya kunyoshea wengine vidole.Madhehebu yamejaa uozo wa kila aina ndio maana tunaomba rehema na kwa neema za Mungu tutapona
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga, Wahukumiwa kwenda jela miezi Mitano kwa kosa la Uchochezi

    Kwa nini nguvu ya wananchi huitajika kwenye ualifu wa kisiasa?Ni kwa nn wanasiasa hawakubali maneno yao wanaposhitakiwa?Kama ni haki kutumia lugha ya fedhea si ukubali tu maneno yako mahakamani kuliko kupiga chenga.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lema: Nawatakia kila la heri madiwani waliohama na kujiunga na CCM

    Lema amechanganyikiwa.Hajui afanye nini ili ufalme wake uendelee kutukuzwa.Kinywa chake hunena maovu na machukizo akikutumia misahafu na fasihi kudhulumu maisha ya watu.LEMA mungu anakupa pigo takatifu na huna pa kutokea.Viongozi wanakuhama mchana kweupe kama ulivyoihama TLP.kwako hukuiona...
Back
Top Bottom