Taarifa ya ufafanuzi kwa wakazi wa mkoa wa Iringa juu ya kauli ya mkuu wa mkoa wa Iringa.

Labda nikusaidie kujibu kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwakilishwa na watendaji wengine kama Katibu mkuu na katibu mwenezi. Halafu CCM si mtu bali ni watu, hivyo kutokwenda kwa mwenyekiti hakumaanishi kuwa CCM haijaenda. CCM si chama cha mtu mmoja hadi useme asipotokea huyo mtu basi CCM haipo. Halafu tambua pia katika tukio lile, Mwenyekiti wa CCM hakusimama kama chama, bali alisimama kama serikali. Na serikali iliwakilishwa na Waziri mkuu.
Umewajibu vyema wapiga propaganda......

Kwa maana hiyo hata Chadema iliwakilishwa na mbunge wa Ukerewe, Mheshimiwa Makundi, Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza pamoja na madiwani wa Chadema mkoani Mwanza

Kwa hiyo ngoma DRAW
 
Labda nikusaidie kujibu kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwakilishwa na watendaji wengine kama Katibu mkuu na katibu mwenezi. Halafu CCM si mtu bali ni watu, hivyo kutokwenda kwa mwenyekiti hakumaanishi kuwa CCM haijaenda. CCM si chama cha mtu mmoja hadi useme asipotokea huyo mtu basi CCM haipo. Halafu tambua pia katika tukio lile, Mwenyekiti wa CCM hakusimama kama chama, bali alisimama kama serikali. Na serikali iliwakilishwa na Waziri mkuu.
Hata hivyo ni janga la taifa kwa sasa! siku yaja itakuwa ni historia.
 
Labda nikusaidie kujibu kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwakilishwa na watendaji wengine kama Katibu mkuu na katibu mwenezi. Halafu CCM si mtu bali ni watu, hivyo kutokwenda kwa mwenyekiti hakumaanishi kuwa CCM haijaenda. CCM si chama cha mtu mmoja hadi useme asipotokea huyo mtu basi CCM haipo. Halafu tambua pia katika tukio lile, Mwenyekiti wa CCM hakusimama kama chama, bali alisimama kama serikali. Na serikali iliwakilishwa na Waziri mkuu.
Mbona chadema iliwakilishwa na mbunge wa ukerewe na viongozi wa kanda?
Au kwa vile nlikuwa hamuwaoni tbc one yenu?? Labda hio ndio point tenu?
 
Kwa namna Rais Bwana John Pombe Magufuli alivyo "a controversial creature", angeenda huko uwezekano wa kuzitukana maiti zilizoopolewa majini ungekuwa mkubwa!

Ndivyo ambavyo pengine ingetokea Kagera kwenye janga ka tetemeko LA ardhi, ama kule kwa watoto wa shule Arusha na matukio ya vifo vya halaiki kwingineko.....

Better TISS walimpiga " pin" asiende at least wakati "tension" ya matukio ikiwa tense....

Asubiri baada ya miezi sita ndipo aende akawahani tu kuliko kwenda wakati huu watu wakiwa ktk machungu ya kuwalilia ndugu zao isije ikatokea jamaa "frustrations" zikapanda kichwani na kuibua msiba mwingine kwa wafiwa kwa matamshi yake tu!

Nadhani Kassimu Majaliwa (PM) aliwakilisha vyema serikali. Ana busara na hekima kwa kiasi chake. Si Hutu bwana mkubwa!!
 
Huko Iringa si ndo huwa wanaua wakuu wa mikoa huko?Yule nani yule walimlaza chini?
 
Chadema alikuwepo mbunge na viongozi wa kanda. Tofauti ni nini? Halafu ujue kisiasa na ki nchi yaani kimataifa aliyefiwani rais siyo Mbowe. Rais ndiye baba wa taifa na mfariji mkuu. Ndiyo maana hata salam za pole kutoka nje ya nchi anatumiwa rais siyo viongozi wa upinzani. Sasa tupe jibu rais alikuwa anafanya nini Dsm wakati watoto wake kwa mamia wameangamia ziwani? Hapo nafasi ya baba ikoje? Kwanini awakilishwe? Alikuwa nje ya nchi au alikuwa anaumwa? Je ni halali kumtuma baba mdogo wakati baba mzazi upo na unaonekana eti umetoka kanisani kisha unaenda kunywa chai na traffic! Acheni unafiki wa kutetea hata vilivyo wazi.

Wakati wa tetemeko Kagera rais hakwenda kama kawaida yake. Mbowe na Lowassa walienda. Unajua kilichowatokea? Wakati wa ajali ya wanafunzi 32 Arusha hakwenda as usual. Viongozi wa upinzani wakiwemo wa CHADEMA na wa dini walikwenda kuhani. Unajua kikichowatokea? Walirudi nyumbani wakitokea Lopango! Teteeni vingine siyo hilo mlipaswa kuwa hata na aibu kutetea!
@Tulinunu umejibu ,hasa para ya mwisho.
 
Labda nikusaidie kujibu kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwakilishwa na watendaji wengine kama Katibu mkuu na katibu mwenezi. Halafu CCM si mtu bali ni watu, hivyo kutokwenda kwa mwenyekiti hakumaanishi kuwa CCM haijaenda. CCM si chama cha mtu mmoja hadi useme asipotokea huyo mtu basi CCM haipo. Halafu tambua pia katika tukio lile, Mwenyekiti wa CCM hakusimama kama chama, bali alisimama kama serikali. Na serikali iliwakilishwa na Waziri mkuu.
Kama ni hivo basi na chadema walikuwepo bali hawakuvaa sale na hawakutambulishwa ila wenyeji wanawafahamu
 
Labda nikusaidie kujibu kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwakilishwa na watendaji wengine kama Katibu mkuu na katibu mwenezi. Halafu CCM si mtu bali ni watu, hivyo kutokwenda kwa mwenyekiti hakumaanishi kuwa CCM haijaenda. CCM si chama cha mtu mmoja hadi useme asipotokea huyo mtu basi CCM haipo. Halafu tambua pia katika tukio lile, Mwenyekiti wa CCM hakusimama kama chama, bali alisimama kama serikali. Na serikali iliwakilishwa na Waziri mkuu.
MANENO kuntu!
Ngumu sana kwa wao kumeza walahi
 
UZINDUZI LEO NA BADO WATU WANACHOMOKA KILA IITWAPO LEO WALAHI
UWIII CHADRAMA KWISHNEY WALAHI
 
Mbunge wa Ukerewe hakuwa mwakilishi wa chama, bali mfiwa aliyefiwa na wapiga kura wake.
Kwani wapiga kura waliishia kupiga kura za Mbunge tuu? Mbona mlikuwa mnasema msiba wa kitaifa hamkusema msiba waki jimbo?
CCM hakika mnatia aibu sana!kinaweza kuwa ndio chama tawala cha kijinga kilicho baki barani Afrika kwa sasa
 
Daah.. Naskia sisiemu wamekodisha genge la watu wanaokesha na kushinda mitandaoni wakipiga propaganda kukitetea
 
Kuna Video Ikimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Iringa Rc Hapi Akihoji Tukio La kuzindua Sera za Chama na hususisha Viongozi wetu wa kutokuoneka Ukerewe Kwenye Ajali Ya MV Nyerere
na Akisema ipo siku ccm Iringa mjini inachukua halmashauri na jimbo

Tunapenda Kumwambia Mkuu huyu Wa Mkoa wa Iringa Moja kuwa Kabla ya kuuliza Viongozi wa Chadema Amuulize Mwenyekiti wake Wa Ccm taifa Pamoja na msiba mzito Kwanini hatukumuona Ukerewe kipindi ambacho kama taifa liliondokewa na watanzania wengi kwa ajali

Pili Mkuu wa mkoa tunapenda kumwambia Kuwa Chadema Tumesikitishwa sana Matukio mbalimbali ya kuwapoteza Watanzania kwa Ajali Za Majini,Kutokana Na chama chake kutokuwa na sera Madhubuti na imara juu ya usafiri wa Majini

Chama makini na Viongozi Makini hawaishii Kuhuzunika ila wanachukua hatua kwa kutunga Sera thabiti zitakazo toa majibu Ya changamoto ya Ajili za Usafiri Wa Majini

Na Ndo Maana Chadema tulifanya uziduzi wa sera ili kuwapa fursa wananchi kujua sera zetu juu ya mambo mbalimbali yanayorikabili taifa

Na Kupitia Sera za Chama Toleo 2018 Chadema Tumepambanua namna tutakavyoboresha usafiri wa Majini Kutoka na changamoto Ya usafiri wa Maji nchini kama inavyosomeka

Chadema itapanua na kuboresha uwezo wa bandari zetu zilizopo ili kukidhi Mahitaji yanayotokana na ukuaji wa biashara na kuongezeka kwa mizigo pamoja na meli za abiria,hii itajumuisha kuendeleza na kuboresha Mfumo wa Usafiri wa Majini wenye ufanisi.

Chadema itahakikisha kuwa inajenga na kuboresha bandari kwa ajili ya mashua za watu binafsi

Chadema itahimiza ushiriki wa Sekta binafsi kwa kuyavutia Mashirika makubwa ya meli kuja kuwekeza Nchini,Pia Chadema Itaboresha na kuendeleza ViVuko vyote kwa ajili ya Kuwaunganisha Wananchi

Pili Mkuu wa Mkoa Amekuja Iringa Amekuwa akikaririwa Sehemu mbalimbali Akisema amekuja Kusafisha iringa,Mara Atahakikisha halmshauri na jimbo 2020 Vinaenda CCM

Tunapenda Kumuuliza Mkuu wa Mkoa hayo ndo majukumu yake yaliyoanishwa na *Sheria ya Tawala za mikoa Na 19 ya Mwaka 1997 kifungu cha 5(1,2,3)*????

Ipi Tofauti yake yeye Kama mkuu wa Mkoa Na Katibu wa ccm mkoa au Mwenyekiti wa ccm Mkoa?? Au ndo Uthibitisho kuwa Viongozi wa CCM mkoa wa Iringa hawana Uwezo wala Ujasiri Wa Kukisemea chama chao??

Tunapenda Kumkumbusha Mkuu wa Mkoa Kuwa Mbunge wa Iringa Mjini Peter simon Msigwa Alichanguliwa na Wananchi na Halmashauri hii Ipo Chadema kwa Ridhaa ya Wananchi na Sio Watakwa ya Mtu binafsi

Kwa Mwenendo Wa Mkuu wa Mkoa kuwaandamana Viongozi wa kuchaguliwa na Wananchi Kupitia CHADEMA na Uthibitisho wa Msemo Usemao

Simple minded politicians think of next election, but great leaders think of next generations.

Wanasiasa wenye fikra finyu huwazia uchaguzi ujao, lakini viongozi bora hufikiria mustakabali wa vizazi vijavyo

Ni kwa jinsi hii, vyama makini na vyenye uongozi bora vitaendelea kujipambanua kwa siasa za sera zaidi, huku vyama uchwara vikijikita kwenye siasa za propaganda, fitina, chuki, ubaguzi na matumizi ya mabavu dhidi ya wapinzani wao.

Jackson Mnyawami
Katibu CHADEMA
Mkoa
Maboresho au ujenzi wa ofisi kuu za chama vipi kwenye sera mpya?
 
Labda nikusaidie kujibu kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwakilishwa na watendaji wengine kama Katibu mkuu na katibu mwenezi. Halafu CCM si mtu bali ni watu, hivyo kutokwenda kwa mwenyekiti hakumaanishi kuwa CCM haijaenda. CCM si chama cha mtu mmoja hadi useme asipotokea huyo mtu basi CCM haipo. Halafu tambua pia katika tukio lile, Mwenyekiti wa CCM hakusimama kama chama, bali alisimama kama serikali. Na serikali iliwakilishwa na Waziri mkuu.
Kwetu neno "maboso" ni yale mabaki ya kilevi cha ulanzi,maelezo yako yamewakilisha usivyo mwelewa wa nini hapa hasa kinajadiliwa/hovyo kabisa wew
 
Labda nikusaidie kujibu kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwakilishwa na watendaji wengine kama Katibu mkuu na katibu mwenezi. Halafu CCM si mtu bali ni watu, hivyo kutokwenda kwa mwenyekiti hakumaanishi kuwa CCM haijaenda. CCM si chama cha mtu mmoja hadi useme asipotokea huyo mtu basi CCM haipo. Halafu tambua pia katika tukio lile, Mwenyekiti wa CCM hakusimama kama chama, bali alisimama kama serikali. Na serikali iliwakilishwa na Waziri mkuu.
Kuna matukio hayahitaji uwakilishi
 
Anawakilishwa kwenye misiba mizito tu, kwenye zinduzi vip?
 
Labda nikusaidie kujibu kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliwakilishwa na watendaji wengine kama Katibu mkuu na katibu mwenezi. Halafu CCM si mtu bali ni watu, hivyo kutokwenda kwa mwenyekiti hakumaanishi kuwa CCM haijaenda. CCM si chama cha mtu mmoja hadi useme asipotokea huyo mtu basi CCM haipo. Halafu tambua pia katika tukio lile, Mwenyekiti wa CCM hakusimama kama chama, bali alisimama kama serikali. Na serikali iliwakilishwa na Waziri mkuu.
Kama CCM si mtu mbona mmeendelea kukomaa na Serikali ya JPM pamoja na che Nkapa kuwananga muache?
 
Back
Top Bottom