Recent content by smagalla

  1. S

    Kwa nini SRA haijabadili formula kandamizi za mafao ya uzeeni za NSSF na PPF

    Ni kweli sheria ya SSRA hairuhusu mtu kuhama kutoka mfuko mmoja kwenda mwingine. Unapaswa kuwa makini unapochagua mfuko mwanzoni kwani una huari kuchagua mfuko unaopenda. Ukikosea mwanzoni, Fainali Uzeeni. PPF na NSSF wana mafao kandamizi ya uzeeni wakati LAPF na PSPF wana mafao bora ya uzeeni...
  2. S

    Kila la kheri Zanzibar, bye bye Muungano!

    Mtoto akililia wembe Mpe! Kelele zao ndio zinatufikisha hapa. Najua watatamani serikali mbili ziendelee ili waendeleze ukupe wao but watakuja kushtuka wakati wameshachelewa. Bora kila mtu awe na kwao na rasilimali zake. Haiwezekani Changu ni Chetu wakati Chako ni Chako.
  3. S

    Sijawahi kuvunja amri ya sita.

    Mkuu vipi, ya saba umewahi kuivunja?
  4. S

    Dada yangu ana jinsia mbili

    duu hii kali
Back
Top Bottom