Recent content by slyve Ramon

  1. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamna Nabii hata moja kabla ya Yesu alio fundisha Utatu au miungu mitatu (Trinity)?

    Mambo yasiyokuhusu lazima yakutoe jasho kijana😂 hivi vitu sio vya kila mtu pambana na dini yako
  2. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

    Sema wewe ni mtu wa dini wala sio Mkristo na hujawai kumkiri Kristo kama Bwana na Mwokozi ,ila jua hakuna anaekuja Kwa Baba pasipo mimi( Kristo) endelea na hizo sarakasi mkuu
  3. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Wakuu msaada Kwa aliemaliza kuapply ni kwel Transcript tuna attach na cheti Cha chuo as a single pdf document wakat wa kuupload cheti Cha chuo?
  4. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

    Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda direct ,Kwa yeyote anaefahamu walipo naomba kuelekezwa tafadhali
  5. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Msaada, nimeingia Ajira Portal inaniambia number ya NIDA ilishatumika

    Msaada pia kiongozi Mimi pia Nina changamoto hiyo ila ni hivi nilifunguaga account ajira portal wakat nipo chuo around 2019 kupitia Gmail yangu ya mwanzo na hiyo account ya ajiraportal siku upload chochote zaidi ya kuweka tu namba ya Nida Kwa sababu nilikua bado nipo chuo sijamaliza hivyo sina...
  6. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Gender: Male Age: 26 years Status: Job seeker Education: Bachelor degree in Development Finance and Investment planning Working experience: Assistant accountant at National social security fund (Fund) ,Songea branch Availability: anytime when required Skills: Computer skills , Microsoft...
  7. slyve Ramon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mind Bending Blowing Movies Special Thread

    Kama Dark ( German Tv series) 2017 haipo hiyo list bado haijakamilika[emoji119]
  8. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Wapi napata Google pixel Mwanza?

    Sawasawa mkuu nitazingatia
  9. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Wapi napata Google pixel Mwanza?

    Shukran mzee ngoja tutafute
  10. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Wapi napata Google pixel Mwanza?

    Kiongoz nisaidie namba ya huyo mdada inbox kesho ikiwezekana nikanunue
  11. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Wapi napata Google pixel Mwanza?

    Sawa mkuu
  12. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Wapi napata Google pixel Mwanza?

    Sawa kiongoz ngoja nichel
  13. slyve Ramon

    JamiiForums Tanzania Wapi napata Google pixel Mwanza?

    Msaada maduka ya uhakika kwa mwanza mjini chimbo lipi naweza pata google 3a au 4 brand new
Back
Top Bottom