Recent content by slow_learner

  1. slow_learner

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    Mayele anatazama mechi hii akiwa wapi jamani? Huku majini hayazuiliki 😂😂😂
  2. slow_learner

    Wenye akili sana maisha huishia njiani

    Mbona kama unanisema hapa? kiukweli napata wakati mgumu sana
  3. slow_learner

    Wahaya jengeni kwenu, acheni kujisifu Bukoba haina maendeleo

    Mimi ndo mara ya kwanza kufika mkoa wa Kagera ila nilichojionea 😥😥😥😥 Wacha nimalize kilichonileta niendelee na mambo mengine 🏃
  4. slow_learner

    Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

    Shule inahitajika kwa vijana wengi hasa wanaojihusisha na kuitumikia jamii.
  5. slow_learner

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    You better elucidate well. Vijana wengi wetu tunapenda mambo yasiyo tija. LinkedIn ✅ Jamii forum ✅ Quora ✅ WhatsApp ✅ App hizo hutosheleza mahitaji yangu
  6. slow_learner

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Ooh sawa mkuu kwa upande wako. Huenda ikawa mimi nilitaka connection kubwa sana. 100k+ purchase
  7. slow_learner

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Highlighting inamaana haifai hasa pale unapolenga ujumbe fulani? Mkuu sijapodoa podoa chochote ila nadhani umenitafsiri tofauti. Nawasilisha 🙏
  8. slow_learner

    Karibu Geita na utembee kwa ukakamavu

    Katika maeneo ambayo si salama sana kwa biashara yako na hata kuishi ni GEITA. +Vibaka ni wengi +Huduma za afya zipo ili miradi +Usafirishaji ni tatizo (barabara) +Ulinzi duni +Uhusiano wa wafanyabishara na halmashauri ni mbovu +Huduma ya maji si rafiki +Mpango mji hawatambui kazi yao Povu 😤😤...
  9. slow_learner

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Halafu kuna hawa watu wa uhamiaji wanakera sana kwenye utoaji wa hati za kusafiria. Siyo kwamba hatupendi kuchangamkia fursa ila kuna mambo yanafanywa makusudi na mamlaka ili tudhoofike. Hebu ona majirani zetu wakenya hawana mambo mengi
  10. slow_learner

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Jioulize Je una account ya linked? ume connect na watanzania gani ambao wewe unataka kuwa kama wao? linked ni bure kwanini hauja connect hasa kwa wasomi? Ukweli tuambizane tu hata hiyo LinkedIn siyo bure kama unavyoisemea. Ni kweli ina proffesional wengi lakini ili uweze kupata connection nzuri...
  11. slow_learner

    Nimemtimua shemeji yangu, kumbe usiku alikuwa analala uchi chumba kimoja na mwanangu mdogo!

    Kabla ya kukujibu imenibidi kwanza nifuatilie utashi wako. Ila watu kama ninyi ni sawa tu kuwepo kwa maana mna umuhimu wenu huenda kwa ninyi kujitambua ama kutokujitambua👀
  12. slow_learner

    Nimemtimua shemeji yangu, kumbe usiku alikuwa analala uchi chumba kimoja na mwanangu mdogo!

    zama hizi ni bora nionekane nina roho mbaya tuu ila hakuna ndugu nitamruhusu kulala kwangu hata usiku mmoja. Ila kuwa makini hata shule za boarding utazowapeleka maana huko nako kuna uozo mtupu
  13. slow_learner

    Nimemtimua shemeji yangu, kumbe usiku alikuwa analala uchi chumba kimoja na mwanangu mdogo!

    Tatizo lipo lakini wazazi walio wengi hawafuatilii kabisa watoto wao. nakumbuka nilipokuwa mdogo kuna mjomba wangu mmoja japokuwa tulikuwa wadogo sana yeye alikuwa na kitabia kama cha huyo jamaa. kiukweli mimi nikiwa darasa la tano nilistaajabu sana kwa ule mtindo wake lakini sikuweza kumuhoji...
Back
Top Bottom