Akijibu tuhuma kwenye mtandao wa Twiiter (X) kuwa wanachama wanamashaka ana uhusiano na serikali ya CCM uhusiano ambao una harufu ya kukihujumu chama, kada huyo wa CHADEMA, ndugu Godbless Lema amejibu tuhuma hizo akidai yeye hati ya kusafiria (passport) alishughulikiwa na mwanasheria wa chama...
Ni Sci-Fi, Kwenye hii filamu, muda hauendi sawa kwa kila mtu kama ulivyotanabaisha kwenye uzi sema kwenye movie inatokana na nguvu ya uvutano (gravity) ya shimo jeusi (Gargantua) saa moja kwenye sayari ya Miller ni sawa na miaka 7 ya duniani. Hii inasababisha main Character Cooper kubaki kijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.