Hakuna kitu kama hicho ktk historia ya uislam kuwa mtume wetu aliwaua wezi wa ngamia. Wale walikuwa ni wageni walikuwa wagonjwa wakapewa hifadhi, walipopona walimuua mlinzi wa ngamia na kuiba ngamia hao wote. Sheria hao watu ni jambazi na jambazi ni kuuliwa.
Iwe taarifa kwenu ISIL si waislam kama wanavyojiita sababu hao ni kundi la kigaidi lenye kujipa jina la kiislam. Ktk uislam hakuna hukumu ya kumchoma mtu moto hata iwe vp.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.