Recent content by SlimBoy

  1. SlimBoy

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange ni mzima, puuzeni uzushi uliosambazwa

    What's the use of cyber crime au hii haihusiki
  2. SlimBoy

    Amekutwa na nini mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu?

    Hakika na ndio sisi tunaposhindwa kujaji sera za wanasiasa ila kwa upeo wangu mdogo nahisi tunadharauliwa sana kwa kuahidiwa pipi wakati kuna vitu vya msingi vingi sana sio boda boda kuingia mjini
  3. SlimBoy

    Amekutwa na nini mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu?

    Lowasa Sidhani alikuwa na mashiko juu ya hilo .kumtoa Seya kisheria sio haki kwani ulawiti halipo kwenye orodha ya msamaha wa raisi, na hana mamlaka kui lazimisha mahakama .boda boda kuwa mjini ni ukosefu wa uwezo wa kufikiri hadhi ya mjini Juilize impact za boda boda kuwa mjini kama sio wa...
  4. SlimBoy

    Mgogoro kutokea UKAWA

    Ain't ready to argue with rot I thought it's a room for great thinkers my bad
  5. SlimBoy

    Mgogoro kutokea UKAWA

    Ya kwetu ipi u r likely to be less understanding u better ask what I mean
  6. SlimBoy

    Let's Stay awake

    Sasa isiwe bora kuondoka ccm tushaichoka na ni dhahili tutaikabidhi kwenye mikono ovyo tutakuwa hatuna akili ya kutaka mabadiliko, ukawa walionyesha nia toka mwanzo kuleta mabadiliko ila kwa kununuliwa na wana ccm sio kweli kbsa ni maigizo ya wazi wazi Demu akukatae kwa nyodo na kwenda kwa mume...
  7. SlimBoy

    Natafuta ufadhili wa kusoma

    Ntaomba bila shaka ila huwa naambiwa diploma ni rare kupata than form six leavers
  8. SlimBoy

    Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

    Ahsante sana Mimi nilikuwa hata nakosa nianzie wapi kuwaelewesha , naongezea kwa kusema tujaribu kujitambua wakati tunashabikia mtu, wampenda Diamond mwanamziki au Diamond mwana siasa, majibu unayo usiyejitambua Kazi ni kazi don't be too personal , take the deal earn money hiyo ndio sera ya hustler
  9. SlimBoy

    Mgogoro kutokea UKAWA

    Mimi nimeamua chukua point za msingi, ni lazima tujue misingi ya chadema na sio ya Lowasa ccm ilitakiwa ng'oka bila EL kumuingiza EL ni udhaifu mkubwa sana ulionyeshwa na ukawa tena kwa only ten B bora ingekuwa bure kuliko kununuliwa
  10. SlimBoy

    Mgogoro kutokea UKAWA

    Kwi Kwi Kwi Truth hurts tuache akili mgando
  11. SlimBoy

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Lowasa ni ccm damuni, ukawa tumepoteza uhalisia wetu baada ya kuanza wapa nguvu watu waliotoka ccm hii inamaanisha ukawa hawakuwa bora, wale wakongwe wa ukawa wapo bench wana shine ccm-ukawa huu si wenda wazimu ulio wazi kbsa, kama EL alikuwa sawa akiwa ccm kabla ya kukatwa angekuwa na sera...
  12. SlimBoy

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Kuwa muoga sio Lazima Hover alipiga debe kwa Obama ila mziki wake uko pale pale, utakuwa hujui nini wakishabikia kwa Diamond kama utaacha kwenda kwa show zake kisa anapenda siasa, Diamond ashabikiwe kama mwana mziki sio mwana siasa , Tatizo letu wabongo walio wengi huwa hatuelewi y tunashabikia...
  13. SlimBoy

    Channel 10, EATV, ITV na Star TV mnatumiwa na CCM vibaya sana

    Akili mgando don't listen to what you want to hear listen and analyse
  14. SlimBoy

    Natafuta ufadhili wa kusoma

    Kwanza nashukuru sana being kwa hili jamvi Mm nimemaliza diploma ya procurement and logistics mgt TIA ila mpk leo hii sijaweza na kuendelea kusoma kwa tatizo la ada yeyote mwenye idea amvapo naweza pata ufadhili wa kusoma degree ntafyrahi sana huwa nashindwa hata kuomba chuo kwa kuwa sina...
Back
Top Bottom