Mgogoro kutokea UKAWA

Mgogoro kutokea UKAWA

Mwaka huu hata msiojua kuloga mmeamua kujifunza kuloga! Povu limekujaa mpaka unatia huruma! Umeingia jf hivi karibuni kabisa kwa lengo la kuleta uchawi wako humu! yaani umeingia jf kwa lengo la kumchafua Lowasa! Hao wachafu huko chama cha magamba hauwaoni? Nani kakwambia chadema lengo lao ni kugawana vyeo? Lengo la chadema ni kuing'oa ccm madarakani! Na hilo litatimia! Lowasa akichukua vyeo wewe haikuhusu! Kwani anachukua vyeo vya ccm? sasa makelele ya nini? Mwaka huu mapovu yatawaishia mpaka mtatoa nyongo! Go Lowasa go!!!!!!

Mimi nimeamua chukua point za msingi, ni lazima tujue misingi ya chadema na sio ya Lowasa ccm ilitakiwa ng'oka bila EL kumuingiza EL ni udhaifu mkubwa sana ulionyeshwa na ukawa tena kwa only ten B bora ingekuwa bure kuliko kununuliwa
 
Kama Lowasa ni dhaifu makelele ya nini? Si ni faida kwako na magamba yote kwa ujumla! Usitufundishe kupanga safu yetu! Kapangeni ya kwenu! We are able to read the message between the lines! Go Lowasa go!
 
Ya kwetu ipi u r likely to be less understanding u better ask what I mean
 
MAMBO NYETI WASIYOJUA CHADEMA KUHUSU LOWASA:

Nikiwa kijijini Kolo Kondoa, nimeamua kuwaandikia jirani zangu wana Chadema. Japo niwasaidie kujua kuwa mbeleni wanayo ya kutarajia.
Chama cha Demokrasia na maendeleo kimeamua kufanya uamuzi wa karne wa kumkaribisha mtu kutoka chama kingine na kumkabidhi dhamana ya kugombea Urais ndani ya siku mbili tu.
Hii inapaswa kuingia kwenye rekodi za dunia maana haijawahi kutokea katika historia ya demokrasia duniani.
Lakini pamoja na uamuzi huu unaofananishwa na kumualika Simba kijijini muishi nae, yako mambo nyeti ambayo wana Chadema hawayajui na watakuja kuyajutia mbeleni, na in fact wameanza:-

1 . Edward Lowasa sio mtu, ni taasisi. Ni taasisi kamili yenye watu walioahidiwa vyeo vyote vya kitaifa kuanzia watendaji wa vijijini, maafisa tarafa, wakuu wa wilaya na mikoa, makatibu wa chama, wajumbe wa bodi mbalimbali n.k.
Lowasa hahitaji wasaidizi wala washauri wa Chadema, ana vyombo vyake atakavyovitumia. Ukiangalia wakati anakwenda kuchukua fomu ya Urais, utamuona mzee mmoja ana mvi anaitwa Chizii, huyu ndiye mshauri wa Lowasa wa mambo ya uchaguzi. Sio mwana Chadema, bali aliingia Chadema siku moja na Lowasa. Leo ni mshauri wa mgombea.Ajabu.
Wana Chadema wasijiroge kuwaza kuwa mipango ya Lowasa itaamuliwa na kamati kuu yao au kampeni zitaratibiwa na Chadema. La hasha.

2. Kitu pekee kinachowaunganisha Chadema na Lowasa ni Urais. Hakuna mfanano wa itikadi, falsafa na hata mfumo wa uendeshaji wa chama. Siku mbili zisingetosha kuleta uwiano huo.Ndio maana Lowasa anaona kinyaa hata kuvaa kombati la Chadema. Tazama picha na video zote, hutamuona na kombati, labda aanze leo baada ya makala hii.

3. Baada ya Oktoba 25 ya uchaguzi mkuu, patakua na Chadema asili na Chadema Lowasa. Lowasa na timu yake wataiteka Chadema. Hapa timu Lowasa, 4u movement n.k ndio watakaobeba vyeo na nafasi za maamuzi zinazoshikiliwa na Chadema asilia. Mfano mkubwa ni Dr. Slaa alivyotolewa sadaka pamoja na jasho lake lote kujenga Chadema. Chezea nguvu ya Lowasa!

4. Lowasa ana kiu ya kutaka mamlaka isiyokwisha hata anywe maji ya bahari.
Atahakikisha anaiteka kamati kuu ya Chadema na vyombo vyote vya maamuzi kwa kutumia nguvu ya pesa vimtumikie yeye. Mbowe,Mtei watajikuta hana tena uwezo wa kuamuru (command) ndani ya chama. Kila jambo litaamuliwa kama Lowasa atakavyo.Hayo ndiyo aliyoyataka CCM akayakosa.

5.Lowasa ni katili, na ana visasi. Hatamsamehe Dr Slaa na wengine wote asiowataka atawaondoa Chadema. Hivyo wale wenye viherehere huko wajiandae kufunga virago.

6.Lowasa ataifanya Chadema iwe na sura yake, tutashuhudia rushwa kupindukia kwenye chaguzi za Chadema, maana kila mtu atataka kuwa karibu na Lowasa ili apate ulaji.

Kwa mtazamo wangu Chadema itakua imeisaidia sana CCM kuendelea kushika dola kwa muda mrefu mwingine, maana sasa tabia zote za kiLowasa zitakua zimehamia Chadema. Kwa mara ya kwanza katika historia chama cha upinzani kitakwenda kwenye uchaguzi kikiwa kina masuala ya kujibu kuhusu ufisadi wa mgombea wao wa Urais. Wanachama na viongozi wa Chadema wajiandae kumfuata Dr. Slaa nje ya mfumo. Hongereni timu Lowasa na wana 4u Movement, maana sasa mtakamata hatamu ndani ya chama kipya. Makamanda wajiandae kisaikolojia. ACT itaibuka kuwa Chama kipya cha upinzani ifikapo mwaka 2020. Chadema na wana UKAWA watafutika katika ramani, maana baada ya Lowasa hakuna tena atakaekuwa na uwezo wa kukiendesha chama.Itakupasa uwe tajiri kama Lowasa tena.
Namshukuru Mungu mimi si mwana Chadema.
Tafakari na fanya maamuzi

Mtabiri wa magamba.
 
Very stupid post.. mbaya zaidi umeanzia kolo, wanaowajua warangi wa kolo wanaelewa why umerefer hiyo location... Very simple reason, next post utakuja nayo ni ya dini, na utalenga hadi mgombea wa ubunge, mwisho kabisa utahamia ukawa fully as if you were ccm

busted

very cheap

Very cheap indeed
 
Kuna watu hawana hoja wana panic instead wanaishia kutoa matusi
 
Tatizo la kunywa uji mchana full kusinzia ukikurupuka ndo unaandika kama haya. Lowasa ndo chaguo letu na ndo njia sahihi ya kuiondoa ccm madarakani
 
MAMBO NYETI WASIYOJUA CHADEMA KUHUSU LOWASA:

Nikiwa kijijini Kolo Kondoa, nimeamua kuwaandikia jirani zangu wana Chadema. Japo niwasaidie kujua kuwa mbeleni wanayo ya kutarajia.
Chama cha Demokrasia na maendeleo kimeamua kufanya uamuzi wa karne wa kumkaribisha mtu kutoka chama kingine na kumkabidhi dhamana ya kugombea Urais ndani ya siku mbili tu.
Hii inapaswa kuingia kwenye rekodi za dunia maana haijawahi kutokea katika historia ya demokrasia duniani.
Lakini pamoja na uamuzi huu unaofananishwa na kumualika Simba kijijini muishi nae, yako mambo nyeti ambayo wana Chadema hawayajui na watakuja kuyajutia mbeleni, na in fact wameanza:-

1 . Edward Lowasa sio mtu, ni taasisi. Ni taasisi kamili yenye watu walioahidiwa vyeo vyote vya kitaifa kuanzia watendaji wa vijijini, maafisa tarafa, wakuu wa wilaya na mikoa, makatibu wa chama, wajumbe wa bodi mbalimbali n.k.
Lowasa hahitaji wasaidizi wala washauri wa Chadema, ana vyombo vyake atakavyovitumia. Ukiangalia wakati anakwenda kuchukua fomu ya Urais, utamuona mzee mmoja ana mvi anaitwa Chizii, huyu ndiye mshauri wa Lowasa wa mambo ya uchaguzi. Sio mwana Chadema, bali aliingia Chadema siku moja na Lowasa. Leo ni mshauri wa mgombea.Ajabu.
Wana Chadema wasijiroge kuwaza kuwa mipango ya Lowasa itaamuliwa na kamati kuu yao au kampeni zitaratibiwa na Chadema. La hasha.

2. Kitu pekee kinachowaunganisha Chadema na Lowasa ni Urais. Hakuna mfanano wa itikadi, falsafa na hata mfumo wa uendeshaji wa chama. Siku mbili zisingetosha kuleta uwiano huo.Ndio maana Lowasa anaona kinyaa hata kuvaa kombati la Chadema. Tazama picha na video zote, hutamuona na kombati, labda aanze leo baada ya makala hii.

3. Baada ya Oktoba 25 ya uchaguzi mkuu, patakua na Chadema asili na Chadema Lowasa. Lowasa na timu yake wataiteka Chadema. Hapa timu Lowasa, 4u movement n.k ndio watakaobeba vyeo na nafasi za maamuzi zinazoshikiliwa na Chadema asilia. Mfano mkubwa ni Dr. Slaa alivyotolewa sadaka pamoja na jasho lake lote kujenga Chadema. Chezea nguvu ya Lowasa!

4. Lowasa ana kiu ya kutaka mamlaka isiyokwisha hata anywe maji ya bahari.
Atahakikisha anaiteka kamati kuu ya Chadema na vyombo vyote vya maamuzi kwa kutumia nguvu ya pesa vimtumikie yeye. Mbowe,Mtei watajikuta hana tena uwezo wa kuamuru (command) ndani ya chama. Kila jambo litaamuliwa kama Lowasa atakavyo.Hayo ndiyo aliyoyataka CCM akayakosa.

5.Lowasa ni katili, na ana visasi. Hatamsamehe Dr Slaa na wengine wote asiowataka atawaondoa Chadema. Hivyo wale wenye viherehere huko wajiandae kufunga virago.

6.Lowasa ataifanya Chadema iwe na sura yake, tutashuhudia rushwa kupindukia kwenye chaguzi za Chadema, maana kila mtu atataka kuwa karibu na Lowasa ili apate ulaji.

Kwa mtazamo wangu Chadema itakua imeisaidia sana CCM kuendelea kushika dola kwa muda mrefu mwingine, maana sasa tabia zote za kiLowasa zitakua zimehamia Chadema. Kwa mara ya kwanza katika historia chama cha upinzani kitakwenda kwenye uchaguzi kikiwa kina masuala ya kujibu kuhusu ufisadi wa mgombea wao wa Urais. Wanachama na viongozi wa Chadema wajiandae kumfuata Dr. Slaa nje ya mfumo. Hongereni timu Lowasa na wana 4u Movement, maana sasa mtakamata hatamu ndani ya chama kipya. Makamanda wajiandae kisaikolojia. ACT itaibuka kuwa Chama kipya cha upinzani ifikapo mwaka 2020. Chadema na wana UKAWA watafutika katika ramani, maana baada ya Lowasa hakuna tena atakaekuwa na uwezo wa kukiendesha chama.Itakupasa uwe tajiri kama Lowasa tena.
Namshukuru Mungu mimi si mwana Chadema.
Tafakari na fanya maamuzi

Haina shida tutampa ivyi ivyo maana aliye madarakani ni mbaya zaidi ni bora kijaribu kwa lowasa kuliko kubaki na CCM
 
Kama cdm imewasaidia ccm kuendelea kushika dola sindyo furaha yenu! Mbona tena unalialia hapa, na toka lini ccm wakawa washauli wa cdm...
 
Mwaka wa mavuno.Wale ambao hawajawahi vuna mwaka huu ni wao.Sifa ni kujua kuandika na kuonyesha uwezo wa kufanya uongo uonekane ukweli.
 
Hivi sheria ya makosa ya mtandao (cyber crime act) imeishaanza kufanyakazi kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom