Recent content by sliding

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joseph Selasini wa NCCR Mageuzi avunja rekodi kwa watu kibao

    Alikuwa na wana jumuiya wenzake wa mt.Imaculata.
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa Dini Mungu anawaona! Yanayoendelea hamyaoni?

    Amani bila haki haiwezekani!Hivi vitu vinaenda sambamba kama utatu mtakatifu.Baba,Mwana na Roho mtakatifu.!"Haki,Amani na Furaha!Huwezi kuomba amani kama haki hakuna,na huwezi kupata furaha kama huna amani!Walipaswa kuhubiri haki kwanza na hayo mengine yangefuata tuu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe alisema ana wafuasi wengi watamfuata, mbona kama naona ni uongo?

    Watu wanaangalia upepo unaendaje!Asitegemee kupata watu wakumfuata.Na uchaguzi ukiisha ni lazima arudi nyumbani kama Edo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

    Wangeahirisha uchaguzi mpaka 2025 tu.Mzee amalizie muda wake ndio akabidhi kijiti kwa atakayebahatika kuwa na mbio.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuwasili kwa treni ya abiria jijini Arusha kwa mara ya pili baada ya miaka 30

    Hebu nikumbusheni kidogo!Labda nilikuwa bado mdogo.Hivi serikali iliyokuwa madarakani kipindi hicho huduma za treni zinasitishwa kwa miaka 30 ilikuwa chini ya chama gani!Kama ilikuwa chini ya chama pinzani kwa kweli ccm wanastahili pongezi kurejesha tena huduma hizo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Safari za treni kwenda Kaskazini zilisitishwa na Serikali ya chama gani?

    Hivi Serikali iliyositisha huduma za gari moshi njia ya Tanga_Moshi_Arusha ilikuwa chini ya chama gani hiyo miaka 30? Nahisi bado nilikuwa mdogo. Kama ilikuwa chini ya chama kingine cha siasa kwa kweli Serikali iliyopo chini ya chama chetu cha mapinduzi inastahili pongezi!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Benard Morrison kuanzia kesho ni Mchezaji huru

    Simba aachane na huyu dogo.Kana nyodo na dharau sana!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Nini dawa ya miguu kuwasha na sababu zake?Miguu inawasha nakuna mpaka inatoa damu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

    Baada ya kutoka kwenye ibada ya shukrani tunapitia kilabuni kujipongeza kwa ushindi! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

    Kama sio maandalizi ya mtumishi kuunga mkono juhudi basi maandalizi ya kusafisha njia bwana aingie kwa shangwe. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Hakuna Mbunge aliyefukuzwa Ubunge. Vikao vya majungu havifanyi kazi hapa, Msajili tazama vyama vya namna hii

    Umegundua mkeo anachepuka ukaamua kumpa talaka,shekhe aliyekufungisha ndoa anasema hiyo talaka ni batili na mkeo ataendelea kutambulika yuko kwenye ndoa!Moja kwa moja lazima ujue ni nani anachepuka naye. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Au wamejifungia?? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Nafikiri huu ndio wakati sasa wa kuomba miujiza ishuke tuondokane na hili balaa la hili gonjwa baya linalotisha dunia!Hatusikii tena zile keki za upako wala mafuta!Au hizo keki mmeamua kula wenyewe na mafuta kukanyaga wenyewe?? Nafikiri kama hizo keki zina upako kweli huu ndio muda tunazihitaji...
  14. S

    JamiiForums Tanzania RC Ally Hapi achukuliwe hatua kwa kumdhalilisha Mganga Mfawidhi

    Ni kijana mwenzie haina shida.Sasa kama nyie mnaogopa kumtongoza ni nyie.Mkuu keshachukua namba za simu shauri yenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbatia awashukia CHADEMA, adai ni wabinafsi na wasiojua historia ya mageuzi nchini! Adai wakiendelea kumwita msaliti atamwaga siri zao

    Kaanza mapema mno.Angezuga zuga kwanza! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom