Recent content by Sley

  1. Sley

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

    Dah..mkuu itabidi nami nikuige..coz nilikuwa sijui kama chupi inapunguza maumbile....
  2. Sley

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na Sababu ya Watoto wa Kikwete kuhudhuria sherehe za kuapishwa Mawaziri?

    Jamani tusisahau na upeo wa family..hawa watoto hawana walichokiona wala walichojifunza zaidi ya kung'ang'ania na kujionyesha kuwa wao ni watoto wa muheshimiwa na hata kama wanatambulika...sisi wakwere ndivyo tulivyo..sidhani kama Rais mwenye elimu yake na alietembea kuona jinsi gani watoto wa...
  3. Sley

    JamiiForums Tanzania Mkoa maskini kuliko yote Tanzania

    Kwa upande wangu nafikiri ni mkoa wa Pwani..kwani si umasikini wa chakula tu bali hata huduma za kia afya na elimu..kama sisi pwani ya mwambao tunaishi kwa kutegemea bahari..
  4. Sley

    JamiiForums Tanzania PICHA & HABARI; Jinsi CHADEMA walivyoiteka Makambako jana!!

    Imependeza hiyo..
  5. Sley

    JamiiForums Tanzania Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

    kali hiyo...
Back
Top Bottom