Recent content by slaqueen

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nitume Tsh 16,500 kwa ajili ya Interview RIFA CO LTD

    Usitume hata mm nlishatumiwa nao ila skuwapa hela..matapeli sugu wana kaz ya kuedit tareh ya sms tu. Tumestukaa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi za viwandani

    Ngoja nije huko inbobo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi za viwandani

    Sawa, lkn angependa kujua details zaidi ya kazi na payments pia ili ajue ajipangaje
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi za viwandani

    Habari jf, nina ndugu yangu anatafuta kazi za viwandani au zinazoendana na carrier yake. Ni msichana, umri 25, anaishi dar. Ana cheti cha hotel management! Pliz mwenye connection yoyote naomba msaada! Ni pm! Asanteni
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tunaendesha mafunzo ya Advanced Excel for Accountant & HR Professional

    Na bei ya hr professional je?!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tunaendesha mafunzo ya Advanced Excel for Accountant & HR Professional

    Baada ya kozi kuna vyeti??!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tunaendesha mafunzo ya Advanced Excel for Accountant & HR Professional

    Advanced excel ada yake ipojee?!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Agents,Universal bussiness dealers

    Habar zenu, naomba mnisaidie, je kuna mtu alishawahi itwa na hawa watu (universal business dealers) kwa ajili ya kazi?! Na kama ndio, ilikuwaje! Au mnafaham chochote kuhusu hawa??!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je, RIFA consultants co ltd ni matapeli?

    Hata mimi nilitumiwa kama hiyo, nikaonge nae ila nilipomuuliza maswali tight alikata sim
  10. S

    JamiiForums Tanzania Shughulika recruitment ni matapeli

    Hahaa, tustuke jaman
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuuza duka au yoyote

  12. S

    JamiiForums Tanzania Accounting, book keeping and secretarial works

    Habari JF, kwa shughuli za accounting na uandaaji wa journals na vitabu vingine vya accounting nipo hapa. Nina uziefu kidogo. Elimu yangu ni degree ya tax management. Pia nina uzoefu na secretarial works, good typing speed etc. Salary maelewano. Nipo Dar es Salam. Atakayenihitaji anichek pm or...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji secretary

    Nadhani yeye atatakiwa kubagein kwa elimu ya kiwango hicho au kutokana na majukum yake tu. Hivyo akituma maombi atakuwa ameelewa tayari
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Wait waje wahusika, usiskilize povu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Kwani shida iko wap kwnye huo uzi wake jman
Back
Top Bottom