Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,703
Ni mwanafunzi mwaka wa pili shahada ya uhandisi mitambo au mechanical engineering... Matokeo yangu yanaridhisha Nina wastani wa 4G.P.A.
Natafuta kazi za part time katika ofisi,kampuni au workshop yoyote hapa dar.
Mimi ni mtaalamu katika vitu vifuatavyo.
1.DC motor winding and maintenance and designing
2.Electrical machine installation
3.Vehicle diagnosis
4.Hydraulic and pneumatic system design
5.Transformers, arc weldind machine designing
Kwa mawasiliano ni PM
Asanteni