Recent content by SKYWALKER_201

  1. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    wakuu ivi kama ilo bogi la pili litakuepo wa mtaani itabidi tutume tena maombi au itakuwaje
  2. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wakuuu ndo tuseme kwamba imeisha kwa tusio pigiwa simu au tuamini aija isha mpk.millard ayo apost
  3. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kuna yeyote alie kwisha pigiw
  4. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    ko mbanga wako akiwa mkuu wa kikosi makutopora kupenya uwakika
  5. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wanazingua usipokuw hewani si watume ata sms mtu uikute, ivi wazee izo namb zinazo tumiwa kupigiw watu ni namb special au ni izi izi tu
  6. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hali ya hewa ya usatani ipoje mkuu
  7. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    kwanini sasa awajatoa pdf
  8. SKYWALKER_201

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    wakuu amna group la WhAtsApp Tupeane infoo izi ajira za police kwa mwenye link atume
  9. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wakuu amna group la WhAtsApp la kupeana update jwtz PT
  10. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Unaeza ukaungwa Freemason ivi ivi salamu ya dini dini ghn? c ataje 😂😂😀Wanangu angalieni sana msije mkajaa kweny mifumo People are differ Guys Kama yeye kashaenda kwa 2star general wake Aende tu waendeleee kusalimiana na salamu zao za dini😀😀😀 #MUNGU NI WETU SOTE
  11. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Tanzania kubwa jaman Ivii kila mtu akisema aende makao wakajazane kama kuna usahili ingekuwaj mpk wa Zanzibar nao waendee makao kweliii.....kikubw ni kutuma kwa wakati kwa walio tumia posta. na kwa wakalibu sio mbaya mkipeleka kwa mkono makaoo basii
  12. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Daaah All the Best kamanda sisi wengine Tunasubiria miujiza kama itatokea......Bado Atuelewiiii mguuu jini mguu shetani
  13. SKYWALKER_201

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Vp na we mkuu mbanga kashakupa uwakika wa kujiandaa kwa ajili ya kozii
Back
Top Bottom