Recent content by SkyTanzania

  1. SkyTanzania

    Skywalker(Fredrick Bundala) its your time to stand with "Leotainment.com"

    Hi Mayowela, asante sana kwa ujumbe huu, hakika unaonekana kunifuatilia vyema. Ulichosema ni sahihi kabisa na nimeshaanza kukifanyia kazi. Nakuahidi baada ya mwaka mmoja nitakufurahisha. Pamoja sana
  2. SkyTanzania

    Barua kwa Dkt John Magufuli: Nisamehe, sikukuamini

    Dear Uncle Magufuli, Japo salamu hii hufaa kutamkwa kwa mdomo, lakini acha tu niseme Shikamoo Uncle Magu. Pole na kazi. Mimi sijambo kabisa. Nilitaka kukupigia simu lakini haina chaji nimeipeleka kwenye duka la Mtifuamchwa kuchaji ? si unajua ndiye mtu pekee mwenye jenereta hapa kijijini...
  3. SkyTanzania

    Kwanini nimeandika kitabu cha historia ya Beyonce na Jay Z

    Lol.. nashukuru nimepewa kipaji hiki
  4. SkyTanzania

    Kwanini nimeandika kitabu cha historia ya Beyonce na Jay Z

    Suggestions nzuri, asante
  5. SkyTanzania

    Kwanini nimeandika kitabu cha historia ya Beyonce na Jay Z

    Sijapotea. It's actually very deep
  6. SkyTanzania

    Hivi ndivyo nilivyopata wazo la kuandika kitabu cha Beyonce na Jay Z

    Nakumbuka siku napata wazo la kuandika vitabu vya Maisha, Mapenzi na Maumivu ilkuwa ni usiku kama saa mbili kasoro hivi. Ulikuwa ni mwezi February, 2015 kama sijakosea. Nilikuwa na mke wangu tukijiandaa kula chakula cha usiku. Nina tatizo moja - kama nikipata wazo fulani hujikuta nikitaka...
  7. SkyTanzania

    Kwanini nimeandika kitabu cha historia ya Beyonce na Jay Z

    SKY KWANINI UMEAMUA KUANDIKA KITABU CHA BEYONCE NA JAY Z BADALA YA KUANDIKA HISTORIA ZA WATU WA TANZANIA NA AFRIKA? HILI NI SWALI NINALOULIZWA SANA NA NADHANI NITAULIZWA ZAIDI KITABU KIKIZINDULIWA RASMI DECEMBER 4 MWAKA HUU 1. Nimewahi kutoa kitabu cha sauti cha Mtemi Mirambo: Sultani Mkuu wa...
Back
Top Bottom