Recent content by skyschool

  1. S

    JamiiForums Tanzania Zinatofautianaje!

    Ni tofauti gani iliyopo kati ya POSTAL ADDRESS na PHYSICAL ADDRESS?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je kukata rufaa HESLB ni kwa ajili ya wale tu waliopata mkopo usioridhisha au hata waliokosa?

    Duhhhhh Hiyo si ni sawa na ile unakwenda kwa mwalimu kulalamika uongezewe marks ,halafu badala ya kuongezewa unashangaa anaanza kuupitia upya mtihani at the end marks zinapunguzwa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je kukata rufaa HESLB ni kwa ajili ya wale tu waliopata mkopo usioridhisha au hata waliokosa?

    Je kukata rufaa kwenye bodi ya mikopo HESLB ni kwa ajili ya wale tu waliopata mkopo usioridhisha au pia ni hata kwa wale ambao majina yao hayajatokea kwenye list ya wanufaika wa mkopo kutoka HESLB???
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je kuna batch ya nne kutoka HESLB??

    Mbona batch ya tatu ya wanufaika wa mkopo kutoka Heslb ina majina 7901 kati ya 8323 yaliyotarajiwa ili jumla ya majina yote yawe 30000 kama Heslb walivyotangaza. Je majina 422 yaliyosalia kutakuwa na batch ya nne kwa ajili yao???? Kama ipo itatoka lini???
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Queen for seven days Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom