Recent content by Skylimit

  1. S

    Sababu hii inanifanya nishindwe kumshawishi madogo zangu wajifunze programming/Coding

    Hatuwezi Fanikiwa kwa kulalamika Programming sio kuhusu Age wala kuwahi kuanza kujifunza, Programming Inahitaji Kwanza Uipende ufanye ndo maisha yako, Uwekeze muda wako 80%, Ujifunze Kila siku, Jiunge na wengine kutengeneza Idea na kudevelop pamoja Tunakwamishwa na Ubinafsi Kila mtu anataka...
  2. S

    Sidney Poitier amefariki dunia

    Nimesoma Kitabu chake ila sijabahatika kuangalia movie yake,Ameongelea mengi kuhusu ubaguzi aliofanyiwa na aliyopitia hadi kufika kupewa tunzo,Walivyo mshangaa alipopanga nyumba kwenye maeneo ya kishua na vile alivyokataa kuigiza baadhi ya scene zenye chembe chembe za ubaguzi.May His Soul Rest...
  3. S

    Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

    Bro Kuna kitabu nilisomaga ndani ya hicho kitabu kuna mahali kulikua na jamaa anampa ushauri aliyefunga ndoa na nukuu tu "Shida haipo kwenye kuipanda/kuikwea nguzo ya chuma iliyopakwa mafuta,shida ipo kwenye kuendelea kuwa juu kileleni kwa wakati wote wa mahusiano,Kupanda nguzo ni mara moja ila...
  4. S

    Title gani ya kitabu, novel au hadithi linayokuvutia sana?

    The world in my pockets, Confession of special agent, Measure of Man, Don't Sleep There Are Snakes. Safari ya Juma, Mbio za Jasusi, Kisiwa Cha Hazina, Alfu Hulela Hulela. Thanks to my late Grandfather🤓
  5. S

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    naomba na mimi nitoe maoni yangu Maoni yangu ukija kwenye kulinganisha kati ya Hi-fi,sound bar na home threate mimi nitasima na home threate kwanini? Vitu ilivyonavyo Home threate baadhi kwenye Hi-fi huvipati,kwenye HT unapata sound effect nzuri ukija kulinganisha na Hi-fi, Ubora wa Hi-fi ni...
Back
Top Bottom