Recent content by sky_haf

  1. S

    JamiiForums Tanzania Cheti cha form four

    habari, ili upate cheti cha form four uwe na points ngapi, au kuanzia credits gani?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Heslb tenaaaaaaa!

    inabidi sie tulioandikiwa budget exhausted ndo hatumo kabisa
  3. S

    JamiiForums Tanzania KUTOKA HESLB: Wote tuliokosa mkopo tutafanyiwa screening tena.

    Umesema tunatakiwa kuacha majina yetu, tuyaache wapi?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je unataka ku-appeal HESLB?

    Nimesoma skuli za serikali, toka chekechea mpaka form six, skul za private naziskia tu kama zipo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je unataka ku-appeal HESLB?

    Umesema ili uappeal uwe na sababu muhimu kama kifo kwenye mabano ukaeka tokea kipind cha deadline mpaka kutoka matokeo, sasa sisi wengne tumefiwa toka tupo olevel tena tukiwa katika shule za serikal, na vyet vyote nlipeleka, ntakua na sababu gan nyengne ya kuwaconvince, mana kuna wenzangu same...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

    Sawa mkuu, mimi nipo zanzibar nitaenda ofisini kwao
  7. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

    Mimi nimepeleka na mkopo sikupata
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?

    Utaijuaje coure kama ni priority kwa vyuo ambavyo hawatumii central admission system(cas)?
  9. S

    JamiiForums Tanzania BSc in computer science

    Unasoma ndio
  10. S

    JamiiForums Tanzania Programming kwa wanaoanza...mawazo yenu!!

    anza na python kama ni structured programming then uende na java kama ni object oriented, python ni rahisi
  11. S

    JamiiForums Tanzania BARCHELOR OF VETENARY MEDICINE [BVM] vs HUMAN MEDICINE [MD]

    Vip kama tutakula nyama ya ng'ombe ambaye kaathirika na maradh yanayompata mpaka binadam?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar college of health v/s lugalo nursing school

    zanzibar college of health soon kitakua ni college ya State University oy Zanzibar(suza), wapo ktk hatua za mwisho za kuunganisha
  13. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya SUA yapo hewani

    Animal science
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Namaanisha kama upo uwezakano wa kupatiwa mkopo?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wale wa IFM tufahamiane hapa jamani!!

    ikiwa umepata chuo kama equivalent na umeomba mkopo kwa form 6 ipo tamaa ya kupata mkopo?
Back
Top Bottom