Recent content by Skull dance

  1. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyewahi kuishi naye zamani kama MKE, amefariki dunia. Sina raha siku ya 7 leo

    Tunasubiri akili yako ikuwe utazoea tu
  2. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

    Kwa hiyo sisi tunaoenda bila kumpigia simu tusemeje? Au kama angekuja kimyakimya bila kumpigia simu angemfukuza?
  3. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Muulize AVA chochote bila ya kuwa na BANDO na upate majibu papo hapo!

    Nikimwambia aedit picha ataweza? Na atazitumaje kwangu?
  4. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Kwaherini JF

    Nakuombea upone na uishi umri timilifu, ujumbe wako umeniuma sana! Pole sana dada
  5. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Hisia:- Huenda Tanzania kushirikiana na Uganda tukajenga refinery yetu, nini kitatokea kwa Dangote, Mombasa?

    Hata mkijenga bado ya Dangote itakuwa the best na cheaper
  6. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

    Yale maumivu niliyopataga yalikuwa makali sana, fikiri darasa la 3 ndo naanza kupenda nikampenda huyo binti. Nilichapwa sana na mama yangu, pia shuleni walimu walipambana sana kutuachanisha lakini mimi nikawa king'ang'anizi nikasema sijawahi kumwona binti mzuri kama huyo, nikasema nikiwa mkubwa...
  7. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

    Nimewahi kulizwa na mapenzi mara 1 tu nilipokuwa form 1 baada ya kutoswa na kadada tulichopendana toka darasa la 3, nikala kiapo sitokuja tena kulizwa na mapenzi, ndo mana mpaka leo I do just for fun!
  8. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

    Sitongozagi wanafunzi, sitaki kusumbuana na serikali, watu wazima wanajitambua na ukiwatongoza wanajua kabisa ni kusogeza usiku tu, hakuna mambo ya kudanganyana kila mtu ana maisha yake.
  9. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

    Mi ndo sijielezagi namna hiyo huwa naenda direct kwenye point... "unajua wewe ni mzuri? Njoo basi unitembelee geto baadae" ndo nimemaliza kusuka au kunyoa ni wewe na ukikubali ndo suala la namba na mambo mengine ya mgegedo yanafuata.
  10. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Congo nyama ya mbwa kuuzwa sokoni ni kawaida

    Mkuu kama haidhuru mwili ungeonja tu uone utamu wake.
  11. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Usilazimishe JF ya 2026 iendelee JF2006 kila kizazi na nyakati zake

    Kuthibitisha kitu gani? Nimezungumzia mengi hapo.
  12. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Usilazimishe JF ya 2026 iendelee JF2006 kila kizazi na nyakati zake

    Sio serious kama zamani mzaha mzaha mwingi
  13. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Usilazimishe JF ya 2026 iendelee JF2006 kila kizazi na nyakati zake

    JF ya miaka ile tulikuwa tunaingia kutafuta programs za computer za uhakika kwa free, vitabu vikali, ushauri mzuri na msaada katika ngazi mbalimbali hadi serikalini na ngoma kali mbalimbali ambazo huwezi kuzipata hata youtube. Lakini sasa hivi ni tofauti ni vijembe tu, umbeya na umalaya ndo...
  14. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui ni nani hapa Tanzania akiongea kitu hadanganyi wacha nikufahamishe - ni DUDUBAYA

    Kumbe kuishi kwako daslam ni sifa!
Back
Top Bottom