Recent content by Skillionare

  1. S

    JamiiForums Tanzania Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    Ila pamoja na wanawake wakiislaam kuonekana kama wanamtii mume ndio wanaongoza kwa umalaya. Kama kuna wanawake rahisi kulala nao ni wa kiislam tena walioko kwenye ndoa ndio balaa wanaishi na waume zao kinafki Sana. Mara nyingi ule utiii una unafki.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Vingunguti mpaka posta miguu iliwaka moto Vingunguti mpaka ubungo river side Vingunguti mpaka uwanja wa taifa Ila utoto ni shida
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

    Kwani sandal si kitambaa ambacho kinatokana na pamba ambayo ni mti na wenzenu wanazika na jeneza ambalo nalo ni zao la mti .. . Hizi imani hizi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka 1980s DC wa Iringa mjini mama Siyovelwa alikuwa akienda Kazini kwa miguu!

    Hivi ile siyovelwa pub ni yake
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

    Mbona wakati anafingiliwa Kesi hawakulalamika kuna mashetani mengine huitaji kwenda kuzimu kuyakuta yapo tu yanajiwakilisha
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasabato hawakemei dhambi za Uzinzi, Uongo, Unafiki, Ushirikina na Wizi

    Ila wasabato wanafyatuana hadi rahaa yaani ukiwaona wanavyoimba kwa ustaaadi na ndivyo wanavyotafunana
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Andreas Felipe Ballesteros Uribe Raia wa Colombia aliyekaa Keko mahabusu miaka 8 kwa kesi ya dawa za kulevya

    Tena ashukuru mungu kuna Sheria ya plea bargaining huyu jamaaa angefia jela alikuwa na gram 958 alikutwa nazo kwenye suruali na nyingine alikuwa kameza ziilitolewa kwa njia ya choo maalum pale JNIA huyu alitumwa kuleta madawa ya kulevya bongo baada ya kushindwa kulipa deni alilokuwa anadaiwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kwenda moshi nitamlinda kidogo na chochote kitu

    Hii ni chai tena inapoa sasa na ndio maana maelezo yake Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza na yeye ameamua kutojieleza kiusahihi hivyo habari yake inakuwa na walakini
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kwenda moshi nitamlinda kidogo na chochote kitu

    Chai ya majani ya mufindi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hali halisi baada ya kuhamia mjini kuja kufanya kazi za ufundi

    Kweli wewe ni shampondo
  11. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya K’s Mbeya mna huduma mbovu

    Kwanini sasa imekuwa hivyo nakumbuka mwaka 2013 walimpa huduma bora sana mwanangu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Pengine, linaweza kutimia kwa njia hii. B+

    Unapenda kutiwa moyo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye atoke Mbeya, nchi itabadilika na utukufu wa Mungu utatawala. Hizi ni baadhi ya sifa za watu wa Mbeya

    Dahahhahahahhahahah hatari ila Mbeya miondombinu hovyo sana
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kagera na Majanga Mazito!

    Sio hivyo hata watu wa KAGERA wakifika uzeeeni wengi wanafilisika, ile ardhi ina laaana hata takwimu za kitaifa ni mkoa maskini
  15. S

    JamiiForums Tanzania Salamu za rambirambi

    Pamoja na yote hayo mkoa wa KAGERA NI MASKINI
Back
Top Bottom