Kiongozi wa umoja wenu ni nani?! Maana hata ninyi kuna siku mtapaza sauti kulalamika hamjatengewa sehemu za kutembea au kuvukia n.k mijini au majijini :D :D :D :P
Imenikuta, Ndio najua leo kwamba nimetapeliwa.
Kwakweli nimetoa hela zangu nyingi sana kumlipa huyo jamaa. Najuta sana kuchelewa kufahamu ukweli.
Ila siku yake ipo, ninamuandalia dawa yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.