kaza uzi bro! Ingekuwa dini ningesema ufe ili sisi wenye shida tuokolewe na mdomo wa chama cha mafisadi, lakini nakuomba sasa nawe uwe ngangari hasa kujua kila kona ya hao chinjachinja na ikibidi upite naye mmoja kimtindo ili wajue jamii huru iko nyuma yako, unaweza kuweka kambi maalumu mahali...
Sasa Chuo kinakusaidia nini?? After all, tunapata experience ya vitu kama hivyo kutoka vyuoni, kama amejileta kula, then kesho yake akirudi mzushie mwizi na washikaji wakiwepo, au njoo nikuazime mtutu umgusishe kwenye shingo yake apate kaubaridi hatarudi ng'o!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.