Recent content by skatt

  1. S

    Siasa za CCM: Kodi juu, Umeme juu, maji juu, Gesi juu, Kiwanja juu, Mshahara uleule

    mh thnx kwa kuliona hilo.kwa ufaham wangu mdogo nafahamu kuwa serikali zinawekwa ili kusimamia rasilimali za nchi kuwa na manufaa kwa wananchi wote nachokiona hapa kwetu tanzania nikupora masikini wengi na kuongezea matajiri wachache wanaopata unafuu wa kodi za kila aina jamani watanzania yuamke...
  2. S

    Ajali mbaya sana ikilihusisha basi la Allys: Buhongwa Mwanza

    sasa hivi kama dakika 10 hakuna msaada paka ss
  3. S

    Ajali mbaya sana ikilihusisha basi la Allys: Buhongwa Mwanza

    Wadau, Kuna ajali mbaya sana ikilihusisha basi la Allys na daladala eneo la Buhongwa Mwanza, nimeshuhudia watu 6 wamekufa papo hapo.
  4. S

    vipele kisogoni

    wadau naombeni msaada ninasumbuliwa na vipele kisogoni nina zaidi ya mwaka nimepata hivi vipele nimetumia dawa nyingi sana bila ya mafanikio mwenye ufahamu wa dawa ya vipele hiyo naomba msaada
  5. S

    Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    Naunga mkono asilimia mia moja coz hizo chanel ni free to air so once king'amuzi kikiisha vocha chanel zote zinakatika ina maana wao star times wanaangalia fedha zaidi kuliko makusudio ya chanel hizo,hii ni kwa watu wa mikoani sifahamu kwa dar ikoje
  6. S

    Mgogoro wa Gesi Mtwara: Zitto Kabwe anapotosha Umma

    mnaogopa kusema ukweli ndo mana mnajificha nyuma ya pazia,gharama mnazozisema ni kubwa sana haziendani na hicho mnachokifanya huko mtwara
  7. S

    UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

    umeona eeeeeeeeeeeeeeee
Back
Top Bottom