vipele kisogoni

skatt

Member
Aug 5, 2012
10
0
wadau naombeni msaada ninasumbuliwa na vipele kisogoni nina zaidi ya mwaka nimepata hivi vipele nimetumia dawa nyingi sana bila ya mafanikio mwenye ufahamu wa dawa ya vipele hiyo naomba msaada
 
Mkuu angslia ivo vipele ucje kuvipasua utatokea linyams kisogoni nadhani ushaonaga watu wana linyams kisogon sasa source inakuwaga ivo vipele
 
Back
Top Bottom