Recent content by sk2000

  1. sk2000

    JamiiForums Tanzania Nikipata sababu za kitaalam na zenye mantiki kwanini Rais Magufuli hapendi kusafiri ng'ambo nitashukuru

    Majibu ya kweli yapo moyoni mwake.
  2. sk2000

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Taarifa ya Polisi wa Iringa wanasema alijipeleka mwenyewe kituo cha Polisi. Taarifa za Polisi wa kanda maalum Dar zinasema kwamba alikuwa anaendelea na shunguli zake hadi alipokamatwa na Polisi. Basi sawa.
  3. sk2000

    JamiiForums Tanzania Chato: Kituo cha runinga na uwanja wa kisasa wa michezo kuanza mapema mwishoni mwa mwaka huu

    Uchumi unakua kwa kasi Chato.
  4. sk2000

    JamiiForums Tanzania Kuna Kushinda na Kushindwa; CCM Inaposhindwa Iliposhinda...

    Wenye vyeti feki vya ubunge.. Wapoo!
  5. sk2000

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Hii ndio CCM mpya

    Masoud Kipanya Just now · Poleni kwa usumbufu na asanteni kwa kujali hali za wengine. Niko salama Alhamdulillah. Namshukuru pia aliyesambaza taarifa. 'AMESAIDIA.
  6. sk2000

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Maombezi bila kutubu? Tubu tu hakuna namna.
  7. sk2000

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe amesimamia neno

    Naye akawaambia ''Tubuni mpate ondoleo la dhambi''... Hapo ndipo seke seke lilipopamba moto.
  8. sk2000

    JamiiForums Tanzania Viongozi acheni mchezo na wananchi vyuma vimekaza kwelikweli

    Msema kweli mpenzi wa Mungu. Vimekaza havijakaza?
  9. sk2000

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

    Chato again. Dad is coming
  10. sk2000

    JamiiForums Tanzania SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Nitakuwa simdai tena konda chenji 50 50 zangu. Maana nikisema "Wewe konda nipe chenzi yangu usawa mgumu vyuma vimekazaa kila siku afadhali ya jana" Hilo ni kosa ki Sumatra.
  11. sk2000

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Viongozi mbalimbali wa Upinzani kufuatia Uteuzi Uliofanywa na Rais Magufuli leo 26/10

    Ama kweli malipo ni hapa hapa duniani. Na apangae ni sizonje.
Back
Top Bottom