Recent content by sjpeter

  1. sjpeter

    JamiiForums Tanzania Kila ninapotaka tutoke pamoja, Mpenzi wangu anakataa kuongozana nami. Nifanyaje?

    Endelea kutokuelewa hivyo hivyo mjinga wewe mpaka maji yalowalishe godoro ukiwa usingizini ndo utajua kwamba kuna mafuriko nje, Je, ni tabia hizo hizo tu unazoziona kwake toka hiyo miaka mi3 ya mahusiano yenu ama kuna tabia zingine ambazo anazifanya mbele yako? Kwanza acha kuwa mpumbavu...
  2. sjpeter

    JamiiForums Tanzania Tumtengeneze Mwigulu kuwa Rais bora ajae

    Usiwe mpumbavu wewe unamuona wapi na kwa kigezo gani?
  3. sjpeter

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Kwanza pole sana ndg yangu, kama Mke wako amefanya mchezo huo huenda haikuwa mara ya kwanza hata hao watoto wengine chunguza vizuri huenda si wa kwako nao pia kwa sababu siku zote maji hata uyachemshe namna gani ukiyaweka pale hayawezi kusahau ubaridi wake... Hizo ni tabia za Mkeo anazo tangu...
  4. sjpeter

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimempata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli

    Penzi jipya lina mambo yake
Back
Top Bottom