ukishachaguliwa itaandika eligible kwenye status ya programme ambayo umechaguliwa kusoma na nyingine zote zitaandika not eligible kama hazijaandika hivyo endelea kusubiri najaribu kutembelea prfle yako kila baada ya week kuona kama kjna mabadiliko ucwe na preshaaaaaa
jamani wanajamvi et ni kwel yanayozungumzwa mtaani kuwa wanaotarajiwa kuingia chuo 2013/14 wataanza masomo yao january badala ya october
kama ni kwel tupia source of info....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.