Sim yangu sio smart lakini bdo salio linakatwa,lastwk niliweka elf mbili,sikutumia huduma yyt,kuangalia salio baada ya dk10 nkakuta sh600,VODACOM ni WEZI WAKUBWA.
Moyo wako umefurahi gooners kupoteza mechi,umesahau nyie mlilala ngap pale?Upo nafac ya ngap kwenye log?Arsenal ar stil 2 points clear,jipange Hull city anakungoja nxtwkend!
Wamejiakikishia kulindwa kwa kuweka vigogo kwenye board zao,wizi wa Tigo na Voda unatuletea hasara sana na usumbufu,faida ya kuuza vocha haiwatoshi??Voda wamenitapeli walinitetx nmeshnda zawad kutuma mdg kwnda no.walionielekeza wakanikata pesa na zawadi sikuiona,they becom so greedy mamlaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.