Ukishawauzia mashine waambie wateja wako wafike Mafinga-SIZA AGROPROCESSING & GEN TRADERS LTD Wapate fertilized eggs wa kuku wa Malawi, kwa maelezoo zaidi wapige 0754419458.
SIZA AGROPROCESSING NI KAMPUNI UNAYOJISHUGHULISHA NA USINDIKAJI WA NAFAKA NA UFUGAJI NA UZALISHAJI WA KUKU WEUSI WA MALAWI,KWA WANAOHITAJI HUDUMA ZETU TUWASILIANE TUANZE KUFANYA BIASHARA. kWA SAS TUNATAFUTA MAWAKALA WA KUUZA SEMBE,MCHELE,KUKU,MAYAI NA CHAKULA CHA KUKU MIKOA YA...
Wanakua na kufikia uzito wa kilo 4
UJASIRIAMALI ni jambo jema katika mapambano dhidi ya umasikini, lakini pia ili kuweza kuwa mjasiriamali, yanahitajika maarifa ya ziada, ikiwamo ubunifu katika kuboresha shughuli unazozifanya ili ziwe na tija.
Nilipomtembelea kijana Peter Kitembe nyumbani kwao...
Kwa wale wafanya biashara wanaohitaji kufanya biashara ya mazao hasa ya mchele wa mbeya na sembe ya Iringa wawasiliane nasi ili tuweze kuweka vizuri mipangao ya biashara. Pia wanaopenda kufuga Kuku weusi(Korongo) wa Malawi wenye uwezo wa kutaga vizuri na kuhimili magonjwa mbalimbali wanaweza pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.