Recent content by SixMsa

  1. S

    Nauza gari aina ya suzuki swift mpya

    cc1320 ni engine ya bajaji?, hizo gari ni nzuri kuliko hata ist. Spea zake ni orijino hakuna feki
  2. S

    Nauza gari aina ya suzuki swift mpya

    Mimi ninayo mwaka wa sita sasa ni gari nzuri zinatembea sana na zina nguvu, watu tu wanadanganyana nimeenda nayo Tukuyu Mbeya mara mbili kutoka Dar, Dodoma mara nyingi sana na bado ipo vizuri.
  3. S

    Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    TUPO PAMOJA KIONGOZI
  4. S

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Asante sana kura yangu nimeitendea haki
  5. S

    Mgombea wa CCM na alama ya mwenge

    Acha kupotosha uma, kama hujui maana ya hivyo vidole omba uelimishwe
  6. S

    Kashfa nyingine ya Mbowe: Kumbe Juma Duni Haji hajakabidhiwa kadi ya CHADEMA

    Huu mwaka mtaweweseka mpaka mkome, magufuli kimyaaaa
  7. S

    Taswira ya Kalenga kiuchumi, kijamii na kielimu

    ":hat:Umasikini wa watanzania ni mtaji mkubwa wa ccm"
  8. S

    Taswira ya Kalenga kiuchumi, kijamii na kielimu

    Kalenga ni sehemu ya Iringa iliyochini sana kimaendeleo hata ukicheki vituo vya kupigia kura ilibidi vijengwe vya nyasi, hii inaonyesha jinsi gani majimbo ya ccm yapo nyuma kimaendeleo
  9. S

    CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    hili halipingiki hata mjiandae kuiba kula 2015 lazima hii nchi ikombolewe
  10. S

    PICHA: M4C- Operesheni Pamoja Daima ilivyotikisa leo - Afande Sele ang'arisha Morogoro!

    hata huoni watu wanaangalia na kuwasikiliza viongozi na sio helkopta, helkopta ipo nyuma watu wanatazama mbele, kweli mmechanganyikiwa magamba, kila kitu kina mwisho na huu ndio mwisho wenu na hela zenu mlizompa zitto zimeenda bila mafanikio, walatini wanasema vox populi vox Dei yaani sauti ya...
Back
Top Bottom