mberege rukiko
Senior Member
- Jul 19, 2016
- 171
- 137
Gar hyo engine ya bajaj
Mimi ninayo mwaka wa sita sasa ni gari nzuri zinatembea sana na zina nguvu, watu tu wanadanganyana nimeenda nayo Tukuyu Mbeya mara mbili kutoka Dar, Dodoma mara nyingi sana na bado ipo vizuri.Jaman msiulize ni kwa nn anauza najua ndio hazina soko lakin mwwnye pesa amsaidie ujui ana shida gani,nashauli pia wakati wakununua magari tujaribu kujibana kununua gari ambayo kesho na keshokutwa ukipata shida inauzika alaka mfano RV4 old model, Toyota Carina n.k
cc1320 ni engine ya bajaji?, hizo gari ni nzuri kuliko hata ist. Spea zake ni orijino hakuna fekiGar hyo engine ya bajaj
Mi ninayo mwakani mwezi wa tano inatimiza miaka 10.Mimi ninayo mwaka wa sita sasa ni gari nzuri zinatembea sana na zina nguvu, watu tu wanadanganyana nimeenda nayo Tukuyu Mbeya mara mbili kutoka Dar, Dodoma mara nyingi sana na bado ipo vizuri.
Naunga mkono hoja Nina old model nataka nijichange nichukue new modelcc1320 ni engine ya bajaji?, hizo gari ni nzuri kuliko hata ist. Spea zake ni orijino hakuna feki