Recent content by Siwamilele

  1. Siwamilele

    Nahitaji location nzuri yenye mzunguko kwa biashara ya stationary

    Moderator pls marekebisho hapo juu, isomeke "location"
  2. Siwamilele

    Nahitaji location nzuri yenye mzunguko kwa biashara ya stationary

    Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku. Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri? Tafadhari share nami location nikapambane mwenzenu, maana hapa nilipo hainilipi kabisa. Napendekeza iwe mkoa wa Morogoro au Pwani. Hata...
  3. Siwamilele

    Ni dhahiri kuwa CHADEMA wameikataa ofa ya kupewa wabunge wa mezani walioahidiwa na CCM. Maana sasa wamechachamaa

    Lissu hahongeki mkuu, jamaa amenyooka kama rula na hajawahi kukubali kuwa sehemu ya huo "upuuzi" unaoitwa maridhiano. Haki haiombwi bali inadaiwa.
  4. Siwamilele

    Major General Mhidze aliyekuwa MSD apelekwe kwenye Court Martial

    Jizi lingine hili huku, pamoja na kwamba ni li-sukuma gang na sasa limetupwa nje ya meza ya chakula, lkn linapo kuja suala la wizi wa fedha za umma linasimama na all gangs! Halafu wakilibinya kende huko linakuja huku linalilia katiba mpya ambayo wakati wa mshamba yule lilisema katiba siyo...
  5. Siwamilele

    Rais Mwinyi: Sitasimama hadharani kuwajibu Wapinzani wanaoisema vibaya Serikali ninayoiongoza

    Hayo ya upumbavu na uwerevu ni ya kwako maana siasa za hoja uvccm hamuwezi ila matusi tu, ubabe na vitisho. Kwa hiyo ww ndo kakuambia hiyo aliyoitoa ni taarifa? Na kama ni taarifa kwa nani?
  6. Siwamilele

    Rais Mwinyi: Sitasimama hadharani kuwajibu Wapinzani wanaoisema vibaya Serikali ninayoiongoza

    Kwa hiyo hii kauli aliitoa akiwa amekaa na akiwa vichochoroni?
  7. Siwamilele

    Rais wa JMT akemea makundi yanayodai ufisadi umerudi. Je, ni makundi gani?

    Kama anawajua hao watu wa hovyo na mafisadi, why asiwashughulikie badala yake anahangaika na Mbowe? Rais analalamika, wananchi wanalalamika! Nchi ngumu sana hii aisee.
  8. Siwamilele

    Mbowe usimfanye Tundu Lissu kuwa bidhaa

    Asante kwa kumtukania ulemavu mlio mpa wenyewe, bahati nzuri pia kesho yako ni fumbo. Kuna kitu kinaitwa "KARMA" hakinaga mchezo hicho, kama huamini mpigie cm meko akuhabarishe.
  9. Siwamilele

    Siku 100 za mafanikio tele ya Rais Samia. Kazi iendelee!

    Kweli Tz kuna wanafiki kupindukia khaa! We jamaa si ukikuwa msifiaji kindakindaki wa mwendazake? Haya unayomsifia leo SASHA si ndo uliyapinga na kusimama na ngosha wakati CDM wanayapigia kelele? Wewe si ndo kila siku ulikuwa unajipendekeza mpaka kutia kinyaa kwa kupost utumbo hapa jf ukikagua...
Back
Top Bottom