Recent content by siwacheusi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuuza duka la decoration za nyumba

    Habari Wadau! Naomba ushauri wenu ipi ni faida ya mtu anayefanya kazi ya kuuza duka la decoration za nyumbani( ikumbukwe duka sio lake isipokuwa ameajiriwa kuuza vifaa kwenye duka hilo) Nitashukuru sanaa kwa mchango wa maoni yenu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mafuta mazuri ya ngozi yenye mafuta kwa wanaume

    Thank you so much
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mafuta mazuri ya ngozi yenye mafuta kwa wanaume

    Hii inaitwa kujipenda urembo ni kwa wanawake..na kama mafuta ya kutatua ttz yapo why nisiulizie?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mafuta mazuri ya ngozi yenye mafuta kwa wanaume

    Nadhani kama huna msaada ungepita tu..co lazma ujibu kejeli
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mafuta mazuri ya ngozi yenye mafuta kwa wanaume

    Currently ndo natumia babycare ila cjaona changes
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mafuta mazuri ya ngozi yenye mafuta kwa wanaume

    Usoni tu...napata zile sebum
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mafuta mazuri ya ngozi yenye mafuta kwa wanaume

    Habari Wadau! Naomba mnishauri mafuta mazuri ya kiume kwa ngozi ya mafuta... Asanteni sanaa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni review ya hii perfyum

    Review ni maelezo kuhusu hii perfyum kwa wale walioitumia...wanailezea zaidi..kuhusu harufu yake, kukaa kwenye nguo..kuwasha endapo itagusa ngoz...n.k.yani vitu kama hivyo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Chimbo la nguo za kiume mtumba kwa Dar

    1.Mashati ya mikono mirefu na mifupi 2.Suruali za kitambaa na cardetis 3.Moka nzuri za kijanja NOTE; NAOMBA CHIMBO LIWE LA MTUMBA
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni review ya hii perfyum

    Habara za wakati huu wadau! Naomba kwa aliyewahi kuitumia hii perfyum naomba maoni yenu. Asanteni
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kupata hii?

    Habari wadau! Naomba anayejua wapi naweza kupata zile pamba ila sio pamba halisi zinawekwa kwenye mito ya kulalia au ile mito midogo ya sebuleni. Picha kwa uelewa zaidi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata sufi (ile inayowekwa kwenye mito ya kulalia na kwenye pillow cases)?

    Dah! Nadhani nimeingia cha wazee ......Sorry guys
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata sufi (ile inayowekwa kwenye mito ya kulalia na kwenye pillow cases)?

    Habarani wadau! Naomba anayejua wapi naweza kupata zile pamba, ila sio pamba halisi zinawekwa kwenye mito ya kulalia au ile mito midogo ya sebleni. Picha kwa uelewa zaidi.
Back
Top Bottom